Kwa vyovyote vile Simba wako on the right track japo wamechelewa. So far nadhani ndio timu yenye vyanzo vingi vya mapato vinavyoeleweka ingawa bado mapato yenyewe ni kiduchu kulinganisha na matumizi.
Kupata milioni 512 nje ya mapato ya uwanjani na ufadhali wa Sportpesa sio kitu cha kudharauliwa na mtu. Hakika niaminini Simba inaelekea mahali kwa kasi ya tofauti na kipindi cha nyuma.
Yanga walifaidika na pia kulemazwa sana na ufadhili wa Manji, ambae by default yeye ndio pia alikuwa ana-regulate move zote za kuanzisha vyanzo vipya vya mapato. Ashukuriwe Mungu katokea SportPesa wakati huu otherwise kishindo cha mtikisiko kisingevumilika.