Wakati Yanga tukimushukuru Mungu mbumbumbu wao wanamshukuru mwanamama rukia

Beira Boy

JF-Expert Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
19,976
Reaction score
32,195
Aman iwe nanyi wapendwa

Wakati sisi yanga tukisema asante Mungu mwokozi wetu maana wewe unatoa ukitakacho na unatoa kwa utakaye na wakati utakao

Pia tunaendelea kumwambia Mungu kuwa yeye ndo Alpha na Omega na anayestail kuabudiwa na kutukuzwa

Wenzetu simba wanasema asante sana mwanamama jonisia rukia tunakushukuru sana kwa mbeleko yako ya leo

Hakika bila wewe mwanamama leo ilikuwa ni Aibu kuu, tunakushukuru mama rukia jonisia

Dah dua ya simba daima itaendelea kutukuza watu huku sisi Yanga tukimutukuza Mungu aliye juu

Kumbuka pia wanavyo mtukuza moo

Dah hakika simba ni Muukundu wa msimbazi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama msimu uliopita first leg match,Yanga walishangilia sana sana sare....! Leo gego la mwisho linaonekana kicheko...na maandamano juu. Malengo ya Simba ni CCL
 
Aman iwe nanyi wapendwa

Wakati sisi yanga tukisema asante Mungu mwokozi wetu maana wewe unatoa ukitakacho na unatoa kwa utakaye na wakati utakao

Pia tunaendelea kumwambia Mungu kuwa yeye ndo Alpha na Omega na anayestail kuabudiwa na kutukuzwa

Wenzetu simba wanasema asante sana mwanamama jonisia rukia tunakushukuru sana kwa mbeleko yako ya leo

Hakika bila wewe mwanamama leo ilikuwa ni Aibu kuu, tunakushukuru mama rukia jonisia

Dah dua ya simba daima itaendelea kutukuza watu huku sisi Yanga tukimutukuza Mungu aliye juu

Kumbuka pia wanavyo mtukuza moo

Dah hakika simba ni Muukundu wa msimbazi

LONDON BOY

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbumbumbu fc 2 - 2 Vyura fc

lols...
 
Yanga kama Man U kufungwa na Arsenal eti wamebebwa umelazimisha draw unachonga wee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom