Wakati Yanga wakimiliki Bwawa pamoja na kutwaa kombe miaka mingi, Kigoma watoa ramani ya uwanja unaotarajiwa kujengwa

Mtarban

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2015
Posts
3,858
Reaction score
5,101
Yanga pamoja na kujiita wa kimataifa hadi wakati huu ninapoandika Uzi huu hawana kiwanja zaidi ya kumiliki bwawa la kufugia vyura pale Jangwani. Sasa wamezidiwa na Kigoma. Kupitia ukurasa wake wa Facebook mbunge wa Kigoma mjini bwana Zitto Kabwe ameposti ramani ya uwanja unaotarajiwa kujengwa pale Kigoma

Yanga wa kimataifa jitahidini kwa sababu mnadhalilisha hadhi yenu ya ukimataifa
By Mshabiki wa Lipuli FC
 
Kuwa mkweli. We si shabiki wa Lipuli bali ni shabiki wa Mbumbumbu a.k.a wa mchangani fc.

Tatizo zaidi pia we ni mwanachama wa ile Sacco's ya kichaga a.k.a. makarai Sacco's
 
Binti tulia uzae,kutoa mimba utakufa,ohoooo
 
Tunampango wakufugia samaki,
 
Kule Bunju mbumbumbu fc wana ramani mwaka wa 20 huu
 
Unalinganisha Yanga timu ya mpira na Mkoa? Kuna uwiano hapo? Linganisha Mkoa na Mkoa, timu na timu.
Vitu vingine havihitaji akili kubwa kuvijua!
 
Kuna timu inaitwa Kigoma SC inataka kujenga uwanja? Inashiriki mashindano yepi yanayoishirikisha pia Yanga? Na kama ni kushindanisha kwa kukosa kiwanja, kwa nini iwe Yanga tu, kama vile timu zote nyingine zina viwanja vyao? Wa kushindanishwa na Kigoma (mkoa) kwa kujenga uwanja ni mkoa mwenzake: Pwani, Rukwa, Dar, Kilimanjaro, n.k. Wa kushindanishwa na Yanga kwa kutojenga kiwanja ni klabu nyenzake: Simba, Azam, Palison, General Tyre, Nyota Nyekundu, Kajumulo, n.k. Hoja dhaifu kama hii , ya kulinganisha visivyolinganishika, inafikaje kwenye majlisi hii kabambe ya Jamii Forum?
 
Kwahiyo kuwa na ramaní ya uwanja ndo kumilìki uwanja?

Na raman yenyewe imetolewa na mwanasiasa tena Zitto
 
Jamaa aliona mbali sana alivyosema mashabiki wa smba ni mbumbumbu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…