Yanga pamoja na kujiita wa kimataifa hadi wakati huu ninapoandika Uzi huu hawana kiwanja zaidi ya kumiliki bwawa la kufugia vyura pale Jangwani. Sasa wamezidiwa na Kigoma. Kupitia ukurasa wake wa Facebook mbunge wa Kigoma mjini bwana Zitto Kabwe ameposti ramani ya uwanja unaotarajiwa kujengwa pale Kigoma
Yanga wa kimataifa jitahidini kwa sababu mnadhalilisha hadhi yenu ya ukimataifa
By Mshabiki wa Lipuli FC
Yanga wa kimataifa jitahidini kwa sababu mnadhalilisha hadhi yenu ya ukimataifa
By Mshabiki wa Lipuli FC