KERO Wakatisha tiketi stendi za mabasi Mwanza wanabaki na pesa zetu kwa kisingizio cha kukosa chenji

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

kemoyo

New Member
Joined
Mar 2, 2025
Posts
1
Reaction score
2
Viongozi jiji la Mwanza mko wapi kwa haya yanayoendelea stand za kuu za mabasi ya kwenda mikoani tena stand zote mbili hawa watu wanaokatisha tiketi za kuingia ndani ya stand wamejiwekea utaratibu wa kujikusanyia pesa binafsi kwa kisingizio cha kukosa chenji.

Kiwango kilichowekwa ni Tsh 200 lakini kwa mfano ukitoa 500 wanakuambia una mia tukupe mia nne, ukikosa wanakupa mia mbili ili wao wabaki na 300 ambayo 200

Hizi mia mia wanazojichukulia zinaingia mfuko gani au zinaenda kwa nani?

Tunaomba mamlaka zichue hatua, huu ni wizi kama wizi mwingine
 
Kata tiketi online mkuu mpaka leo unahangaila kukata tiketi kwa masalange?
 
Nyamhongolo wanaongoza. na tiket wakishakupa yule anaepokea analazmisha kubak nazo ukifoc anaichana kwa hasira ndo anakupa.na abiria wengi kwavle wanakua na haraka yakuwah bus wanaziacha nathan badae hao wahudum wanazirudisha kwenye mzunguko hzo tkt
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…