Viongozi jiji la Mwanza mko wapi kwa haya yanayoendelea stand za kuu za mabasi ya kwenda mikoani tena stand zote mbili hawa watu wanaokatisha tiketi za kuingia ndani ya stand wamejiwekea utaratibu wa kujikusanyia pesa binafsi kwa kisingizio cha kukosa chenji.
Kiwango kilichowekwa ni Tsh 200 lakini kwa mfano ukitoa 500 wanakuambia una mia tukupe mia nne, ukikosa wanakupa mia mbili ili wao wabaki na 300 ambayo 200
Hizi mia mia wanazojichukulia zinaingia mfuko gani au zinaenda kwa nani?
Tunaomba mamlaka zichue hatua, huu ni wizi kama wizi mwingine