Wakatoliki boresheni Ibada zenu

Naona mnajimilikisha na nchi kabisa. Raisi ajaye akiwa mkristo mkatoliki hatumpi kura
 
Ukakosa Fursa ya kuonesha Pamba na viatu vikali ulivyotwanga.

Kanisani mmepafanya kama soko la Walanguzi na maonesho.
 
Walokole huwa mnasali bila muda maalu.m wakati mwingine hadi masaa 8 kwa misa moja..ndiyo maana huwa mna muda mwingi wa kuchezea.....wakatoliki ni standard hours then wanasepa......dah hiyo ya kutambulishana kwa walokole ilini cost sadaka na michango ya kufa mtu
 
Mimi sio mkatoliki lakini huu utaratibu wa kusimamishana na kutambulishana ni wa hovyo sana.

Watu tunasafiri mara kwa mara, jumapili ikikukuta mahali unaingia kanisa la karibu uabudu, la haula laah! Unatakiwa usimame ujitambulishe sijui ukaribishwe kwa makofi khaa!
 

Hawa hawana shida, maana hawasumbui watu na mavipaza sauti yao nje usiku. Kuna wale wanaoita kwa kipaza sauti kwa lugha ambayo siyo ya taifa hili. Wanaanza kuanzia saa kumi na nusu mpaka saa kumi na mbili asubuhi. Wale ndiyo warekebishe abudu yao. Maana wamekuwa kero.
 
Ngoja waje leo utakoma๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
Ilikuwaje mkuu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
 
1. Hujasema kanisa lako ni lipi unalomwalika huyo aliyekualika tuone kama na nyie mko perfect hamuhitaji kuboresha ibada zenu.
Taja kanisa lenu tuchambue ibada zenu.
2. Ulivaa nguo mpya ukataka wakuinue uonekane?
3. Wakatoliki wana utaratibu wa kutambua waumini wao kwenye jumuiya siyo hapo kanisani wewe mpita njia.
Tumsifu Yesu Kristu.
 
Unatambulishwa kwa faida ya nani?

Sana sana ikiwa Padri atahisi uwepo wa wasio wakatoliki basi atatoa Tangazo kuhusu wanaostahili kupokea EKARISTI TAKATIFU.

Mambo mengine yote yako kwenye standards za Ibada.

Hata hivo kuna Wasimamizi(Washirika wa MTAKATIFU Petro na Paul),watahusik kuelekeza nini cha kufanya na kifanyike vipi!

Kanisa moja TAKATIFU Katoliki la Mitume.

Hatuna wageni kwa Sababu nyumbani kwao ni Kwa MTAKATIFU Petro-That is Catholic.

Sent from my SM-A307FN using JamiiForums mobile app
 
Kwa tuliwahi kuwa wakatoliki kabla ya kuhama dhehebu hilo tunajua taratibu zao za kufanya ibada zi specific fixed. Habari ya kukaribisha wageni na kuwatambua wametoka wapi hawana utaratibu huo
 
Kabla sijaokoka na kuachana na hizo iman za ovyo ,nilikua napenda sna ule mda wakujitambulisha hasa kwa wadada wageni , utasikia, kwa jina naitwa neema mabula natokea usharika wa makongo juu nampenda yesuuuu, nilikua namsindikiza na makofi ya kikatili hasa ukute toto toto kwel[emoji122][emoji122][emoji122]
 
Ulikuwa na malengo yako mengine ndugu mpendwa๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Kijana wangu wa hovyo sana wewe! Hadi kanisani unawinda?? ๐Ÿคฃ
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ