DuaZaMama
JF-Expert Member
- Jun 2, 2025
- 1,882
- 4,153
Wakuu tunaendelea na mjadala wetu juu ya wanaojiita wakatoliki 120 ambao binafsi nawaita wakatoliki 'Feki' yaani wa maji ya jioni na watu wasiojitambua na waliofanya mchezo wa kitoto dhidi ya kanisa katoliki kwa bei ndogo sana ambayo haiwezi kuzidi hata Tsh. 5000.
Katika barua inayodaiwa kuandikwa na waliojiita ni Wakatoliki na kuipeleka ubalozi wa Vatican hapa Tanzania, mmoja wa walioketi meza "kuu" amesikika akisema kwamba barua hiyo wanawasilisha kwa "BABA MTAKATIFU WA 16."
Mapapa wawili waliofikia nafasi ya 16 ni Papa Gregory XVI (Uongozi wake kutoka 1831 hadi 1846; alifariki mwaka 1846) na Papa Benedict XVI (Uongozi wake kutoka 2005 hadi 2013; alifariki mwaka 2022). Wote wawili ni marehemu.
Sasa barua hiyo inaenda kwa "BABA MTAKATIFU WA 16" yupi kati ya Benedict XVI na Gregory XVI? Ipelekwe makaburini walikozikwa? Kwa sababu wao ndiyo wamefikia nafasi ya 16.