hakika...hata wale waliokuwa wanapandikiza hoja ya udini hapa wamepigwa knock out hawana chakusemaAngalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
nonsenseAngalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Oya! Hilo libibi lenu linakaribia kufa...nonsense
kawambie mamaluki malofa wenzako na mapadre wanaofurahia kifo cha kadinali pengoOya! Hilo libibi lenu linakaribia kufa...
Huyu jamaa ni Muslim?kama atakuwa Muslim basi ni Muslim poaa..maana mke wake ni pure catholic na anasali 24hrs ..nadhani amewahakikishia waamini wenzake kuwa 'huyu' jamaa hamna kitu ..Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Majaliwa sio fisadi, hauzi ngada, sio fisadi wala hamiliki meli ya kusafirisha ngada.Huyu jamaa ni Muslim?kama atakuwa Muslim basi ni Muslim poaa..maana mke wake ni pure catholic na anasali 24hrs ..nadhani amewahakikishia waamini wenzake kuwa 'huyu' jamaa hamna kitu ..
N.B: Huyu atakuwa amefuata mila zenu ndo maana mko Radhi nae
Correction:Angalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
tena alikuwa mwana UKWATA kindakindakiMwigulu siyo mkatoliki ni Mlutheri
Yaah point kubwa ...HAdi mizengo anashangiliwa , hustuki? 🤣
Chizi karogwa tenanonsense
Lofa ni wewe ***** na chizi limerogwa tenakawambie mamaluki malofa wenzako na mapadre wanaofurahia kifo cha kadinali pengo
Ni sawa na useme mama samia ni bakwata kaiyos sunni sio MuslimMwigulu siyo mkatoliki ni Mlutheri
Hoja yangu haikuwa mwigilu Bali majaliwa ambaye ni mwislamu na wakatoliki wamempokea vema kabisa unlikely nchimbi ambaye ni mkatoliki ndio nikasema nchimbi anakuwa blanketed na upepo mbaya wa Samia.Mwigulu siyo mkatoliki ni Mlutheri
Hawajaielewa kabisa hao jamaa Mimi sijasema mwigilu ni mkatoliki ila nimetaja kama mwathirika wa tabia zake binafsi na hasa Kuanzia Yale mashambulizi ya mabonu kwenye mkutano wa chadema Arusha Mika ile.Correction:
Mwiguli ni K.K.K.T but hoja yako ipo clearly & loud.
Hakuna uchawa hapo.. Japo kuna mwana kamaindi vibaya sanaAngalia namna walivyomshangilia Kassim Majaliwa muislam na namna walivyoshangiliwa mwigilu na nchimbi wakatoliki. Mtazamo kwanini ilikuwa vile.
1. Mwigilu nchemba ni muovu binafsi toka kitambo.
2. Emmanuel Nchimbi ni mtu mwema ila anafunikwa na kivuli Cha Samia muovu.
Ila kassim Majaliwa ni mkatoliki ndo maana alishangiliwa na wakatolikiMwigulu siyo mkatoliki ni Mlutheri