Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Wakatoliki huwa wanapenyezaje watu wao kuwa Marais wa Tanzania?

Dini nyingine ni za kijasusi huwezi wazuia linapokuja swala la aslahi Yao. Historia inasema walipouwa wanaijenga wapo waliopotezwa Sasa utawaweza hao watu kweli?
 
Speculations tu nadhani na kama ni kweli basi hiyo ni kazi inafanywa individualy baina ya watu ambao wao kuwepo Serikalini ni advantage !

Wakuu wa Nchi wameshakuwepo wa Dini na madhehebu tofauti tofauti !
Na hata watumishi wengine Serikalini ni vivyo hivyo!
Je wote hao wameshindwa kuijua hiyo siri. ??!! Na hiyo siri itakuwa imetunzwa wapi pasipofikika ??!!

Na je hao wasio wakatoliki wameikubali hiyo siri au nao ni kama sisi hata hawaijui hiyo siri pamoja na kuwa wana nyadhifa za juu kabisa katika Nchi ??!! 😅😅😅. Vichekesho hivi 😂😂 !
Hakuna kitu kama hicho Bro !!
Wewe unaona ni vichekesho, ila huo ndo ukweli. Unafkr Nyerere uhuru aligeiwa bure ??? Ni mambo mengi sana ambayo siwez kuya andika hapa kwasbb ya unyeti wake.
 
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?

Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.

Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Uwingi wao na michongo Yao
 
Sijui kama kuna mpango wote, ila Kwa uzoefu wangu at least wakatoliki wako moderate linapokuja socialization. Madhehebu mengine yanaona kama dini/madhehebu mengine ni mashetani,wao ndio wako sahihi,wao ndio wanamfuata Mungu wa kweli,wengine wote wanaendan Motoni na hivyo kuwa kutokuwa tayari kusaidia au kutoa msaada Kwa watu wa dini na madhehebu mengine.

Anyway, kuna lile la Rais kuzaliwa Kijijini au familia maskini hili nalo ni janga Kwa nchi. Uzoefu unaonyesha kuwa wana roho mbaya na kutoujali shida za wananchi huku wakijinadi kuwa wao ndio wakombozi! Unfortunately jamii nayo inawaamini! Na kuwaona mashujaa!
Nimeumia sana kupoteza mb zangu kusoma huu upuuzi wako.
 
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?

Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.

Karibuni wajuzi na wachambuzi.
There is not, and there never was on this earth, a work of human policy so well deserving of examination as the Roman Catholic Church. The history of that Church joins together the two great ages of human civilisation. No other institution is left standing which carries the mind back to the times when the smoke of sacrifice rose from the Pantheon, and when camelopards and tigers bounded in the Flavian amphitheatre. The proudest royal houses are but of yesterday, when compared with the line of the Supreme Pontiffs.

That line we trace back in an unbroken series, from the Pope who crowned Napoleon in the nineteenth century to the Pope who crowned Pepin in the eighth; and far beyond the time of Pepin the august dynasty extends, till it is lost in the twilight of fable. The republic of Venice came next in antiquity. But the republic of Venice was modern when compared with the Papacy; and the republic of Venice is gone, and the Papacy remains. The Papacy remains, not in decay, not a mere antique, but full of life and youthful vigour.

The Catholic Church is still sending forth to the farthest ends of the world missionaries as zealous as those who landed in Kent with Augustin, and still confronting hostile kings with the same spirit with which she confronted Attila. The number of her children is greater than in any former age. Her acquisitions in the New World have more than compensated for what she has lost in the Old. Her spiritual ascendency extends over the vast countries which lie between the plains of the Missouri and Cape Horn, countries which a century hence, may not improbably contain a population as large as that which now inhabits Europe.

The members of her communion are certainly not fewer than a hundred and fifty millions; and it will be difficult to show that all other Christian sects united amount to a hundred and twenty millions. Nor do we see any sign which indicates that the term of her long dominion is approaching. She saw the commencement of all the governments and of all the ecclesiastical establishments that now exist in the world; and we feel no assurance that she is not destined to see the end of them all. She was great and respected before the Saxon had set foot on Britain, before the Frank had passed the Rhine, when Grecian eloquence still flourished at Antioch, when idols were still worshipped in the temple of Mecca.

And she may still exist in undiminished vigour when some traveller from New Zealand shall, in the midst of a vast solitude, take his stand on a broken arch of London Bridge to sketch the ruins of St. Paul's.“
 
Wakatoliki Wana maekari kwa malefu ya maekari.

Hivyo lazima wale top mmoja wao atoke kwao ili kulinda maslahi yao.

Marekani kwa kipindi cha zaidi ya miaka 200 Biden ndio Rais wa kwanza mkatoliki kumaliza muda wake. Baada yaa JFK. Kuwa terminated...
Haya ndio majibu Gani sasa.
Kwamba hakuna waislamu au wasio wasilamu wenye maekari ya mashamba nchi hii? Au wasio wakatoliki wenye mashamba nchi hii.
Nani kati ya hao awe mwislamu au mkatoliki anayemiliki maekari kinyume Cha sheria za JMT ili kwamba waweke mtu wao alinde maslahi yao?
Huu ni Ujinga uliopitiliza!
 
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?

Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.

Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Sasa utuletee raisi anaesali kwa Mwamposa au gwajima hiyo ni akili au matope
 
Moja kwa moja kwenye mada. Tangu tupate Uhuru linapokuja suala la Rais kutoka ukristoni basi atakuwa mkatoliki. Je, Kanisa katoliki wanatumia mbinu gani kuwapenyeza?

Najiuliza kuna mpango wa Siri kati ya kanisa na dola? Au ni bahati tu inatokea! Au kuna Nini!? Nina Imani kwa ule mtiti wa Lowasa 2015 angekuwa mkatoliki angechukua nchi.

Karibuni wajuzi na wachambuzi.
Wale ndo Dunia sasa
 
Kanisa Katoliki ni kongwe na linawatengeneza wafuasi wake kupitia seminari nk kuja kutawala nchi na wanajua namna ya kuwasapoti wasomi wake ambao ni wengi mno. Mtandao wake ni mkubwa mpaka ndani ya ma chama km CCM na CHADEMA.
 
Sio kupenyeza Iko wazi Raisi lazima awe mkatoliki, ni mashart ambayo yapo wazi na hakuna wa kupinga
Kikwete na Mwinyi Ali Hassan walikua wakatoliki?, ndio maana mnadharaulika kwa upeo huu
 
Wewe unaona ni vichekesho, ila huo ndo ukweli. Unafkr Nyerere uhuru aligeiwa bure ??? Ni mambo mengi sana ambayo siwez kuya andika hapa kwasbb ya unyeti wake.
Weka hapa tujifunze.

Nijuavyo mimi suala la uhuru lilikuwa ni la muda tu. Naunga jitihada za JKN kwenye kupigania uhuru pamoja na wenzake. Huenda ndio maana tulipata uhuru mapema.

Japo pasi na shaka uhuru ungepatikana tu. Maana wakoloni walishaadhimia kuyaachia makoloni yote.
 
Wanatazama uwiano wa kura sababu linawafuasi wengi ila imetosha zamu ya KKKT ama Anglican sasa

Marais wakatoliki wamekuwa wanalibeba sana dhehebu lao
Wanalipa maeneo makubwa ya ardhi kwa lazima
Ukiwa waziri wa ardhi wewe bishana nao kwenye ardhi huchukui muda utatoka

Pia wamekuwa wanawasapoti kwa vitu vingi mfano kwanini roma shule zake za seminari na vyuo aliachiwa?
Makanisa mengine mpaka leo hayajarudishiwa?
anglican walihangaika wee wakajikuta wanaambulia tu mazengo ambayo sasa ni St johns university
Ila chuo cha ualimu korogwe hosptal ya muhimbili msalato navingne serikali imegoma
Kumbuka pia kwamba Kanisa Katoliki limetoa maeneo makubwa bure na kuikabidhi Serikali
 
Back
Top Bottom