hizo dini za kikoloni hazina nafasiMajaribu yataendelea lakini kamwe hayatafikia yale yaliyotendwa dhidi ya Yesu Kristo, nafsi ya Mungu, aliruhusu kutendewa ili kutuonesha majaribu tunayoweza kupitia. Hata yaje ya namna gani, kamwe hayatafikia yale yaliyotendwa dhidi ya miyume wale na mashahidi watakatifu wa Mungu wa kale. Na pamoja na majaribu ya kutisha, lakini kanisa liliendelea kustawi na kusambaa Duniani kote. Ushindi kwa watu wa Mungu na Kanisa lao ni lazima kwani wapo chini ya mshindi mkuu, mshindi wa mauti, yaani Bwana wetu Yesu Kristo, aliyepewa mamlaka yote Duniani na Mbinguni.
Wewe unatakaje? Una shida gani?hizo dini za kikoloni hazina nafasi
tukumbatia utamaduni wetuWewe unatakaje? Una shida gani?
punguza shobo na dini za watu..acha kiherehere wewe lofa...kila mtu aheshimu dini ya mwinginehizo dini za kikoloni hazina nafasi
Ila wahuni wajue unyakuo upo,ila lini na wakati upi ni kitendawili!Sahihi kabisa. Hata Mapadre, Maaskofu na Watawa wetu wanatakiwa kuishi kwa tahadhari na umakini mkubwa sana awamu hii. Hii vita dhidi ya wahuni, siyo vita nyepesi hata kidogo. Watatumia kila aina ya mbinu, ili tu kulichafua Kanisa la Mungu.