Wakatoliki Tujifunze: Baadhi ya mavazi ya Askofu na maana yake

Write your reply...mkuu Alfred asante, ila nilikuwa nataks kujua jumbo LA kayanga geographical location au mkoa au wilaya
Ni Baba Mtakatifu Benedict wa 16 alietangaza kuanzishwa Jimbo Katoliki la Kayanga.
Jimbo hilo limemegwa kutoka jimbo la Rulenge na limechukua eneo zima la Wilaya ya Karagwe (Kagera) yenye dekania za Karagwe na Kyerwa.


Mkuu Natumai Umenielewa!
 
Ni Baba Mtakatifu Benedict wa 16 alietangaza kuanzishwa Jimbo Katoliki la Kayanga.
Jimbo hilo limemegwa kutoka jimbo la Rulenge na limechukua eneo zima la Wilaya ya Karagwe (Kagera) yenye dekania za Karagwe na Kyerwa.


Mkuu Natumai Umenielewa!
OK mkuu sikujua hilo
 
Ndiyo,sema siwez kuitafsiri vizuri

Sent using Jamii Forums mobile app
Oooh Okay, Kibiblia Kanisa ni Mwanamke.. Ndio Maana Mtume Paulo anasema.. Waume wapendeni wake zenu kama Kristu alivolipenda kanisa, Nanyi wake Watiini Waume zenu kama Kanisa lilivyomtii Kristu!
na Sisi kama Kanisa Katoliki, Askofu ni Msimamizi wa Makanisa yote katika Jimbo lake, ndio maana askofu ana uwezo wa Kumzuia mtu yeyote (isipokuwa Pope) kuhubiri au kufanya misa yoyote katika Jimbo lake, yaani yeye ni Muwakilishi wa Kristu katika Jimbo na Kristu ni Mume wa Kanisa..!, ndio maana huvaa hiyo pete!

Tumsifu Yesu Kristu!
 
AMINA nimekupata mkuu,ubarikiwe sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…