Alfred
JF-Expert Member
- Apr 13, 2008
- 2,093
- 2,843
- Thread starter
- #41
Ni Baba Mtakatifu Benedict wa 16 alietangaza kuanzishwa Jimbo Katoliki la Kayanga.Write your reply...mkuu Alfred asante, ila nilikuwa nataks kujua jumbo LA kayanga geographical location au mkoa au wilaya
Jimbo hilo limemegwa kutoka jimbo la Rulenge na limechukua eneo zima la Wilaya ya Karagwe (Kagera) yenye dekania za Karagwe na Kyerwa.
Mkuu Natumai Umenielewa!