Wakatoliki Tujifunze: Tukumbushane Amri za Kanisa!

Alfred

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2008
Posts
2,093
Reaction score
2,843
Kanisa Katoliki kama Taasisi ya Dini ina Amri zake, Amri ambazo Kila Muumini lazima azifuate!
Ziko Hivi!

1. HUDHURIA MISA TAKATIFU DOMINIKA NA SIKUKUU ZILIZOAMRIWA

2. FUNGA SIKU YA JUMATANO YA MAJIVU; USILE NYAMA SIKU YA IJUMAA KUU

3. UNGAMA DHAMBI ZAKO WALAU MARA MOJA KILA MWAKA

4. POKEA EKARISTI TAKATIFU HASA WAKATI WA PASAKA

5. SADIA KANISA KATOLIKI KWA ZAKA

6. SHIKA SHERIA KATOLIKI ZA NDOA

Pia Ndugu Nawakumbusha Kuhudhuria Jumuiya Kesho Asubuhi, Jumuiya ni sehemu Muhimu sana kwa sisi Kutambulika kama wakatoliki!

ALFRED
 
Huwa najiuliza hichi kitu sipati jibu hapo kwenye kula nyama siku ya ijumaa kuu, kwa nini nyama isiliwe ijumaa kuu? Mwenye uelewa hapo
 
Mkuu hatuli Nyama siku ya ijumaa kuu kwa sababu Yesu alikufa siku hiyo
 
Nikuambieni Ndg yangu, hakuna dhehebu hapa duniani ambalo kiongozi wake anaongoza nchi takatifu, pope is the head of state of Vatican, he has embassodors all over the states. Thus, pope akisema there is no one can rise, Roma loquata causa finata
 
Back
Top Bottom