Wakatoliki wa kuchovya: Tulipewa elfu kumi kumi tukapande miti.

Wakatoliki wa kuchovya: Tulipewa elfu kumi kumi tukapande miti.

Lengo Lao nn hawa wajinga kila siku sakakasi mpya ? Kama nchi tuna mambo mengi ya kufanya, sio huu upuuzi wa maigizo feki
 
Kama wanafanya uhuni wa kiwango hiki, nyuma ya pazia kuna madudu mengi sana. Hii CCM kuivunja vunja kupitia kinachoitwa "uchaguzi" ni hadaa. Hiki chama kina mambo machafu sana kimewafanyia wananchi.
 
Back
Top Bottom