funaku
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 39,468
- 31,952
Huu ni ukweli muhimu na mchungu kwa wote walioonekana kwenye media kisiasa ...katika uzoefu wangu hakuna mkatoliki mwenye haiba ya kikatoliki awaye yoyote...Papa,Kadinali,askofu,paroko,katekista,mlei au mwanajumuiya wa katoliki anayeenda kwenye media kuongelea siasa.
Wote waliofanya hivyo nina mashaka nao kwenye dhamiri zao za ukatoliki.
Wote ni wachafuzi wa dhehebu lenye heshima duniani na kipekee Tanzania.
Pope John Paul wa 2 atakuwa anahuzunika sana na mwenendo wa mama kanisa Tanzania.
TUUFUNGE HUU MJADALA !