‘Wakatoliki wa Yombo Dovya’ wampongeza Papa Leo XIV kwa kuiombea Tanzania

‘Wakatoliki wa Yombo Dovya’ wampongeza Papa Leo XIV kwa kuiombea Tanzania

Mkalukungone Mwamba

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2022
Posts
3,141
Reaction score
7,205
Wakatoliki wampongeza Baba Mtakatifu Papa Leo XIV baada ya kufikia hatua za kuwasilisha ombi la Tanzania kufungua ubalozi wake Nchini Vatican pamoja na kuliombea Taifa amani

Pongezi hizi zimewasilishwa na Lucy Michael mkazi wa Yombo Dovya , Makangarawe , Wilayani Temeke Jijini Dar es salaam Leo Januari 29.2026 amesema hatua hizi zitaenda kuwanufaisha hata wao Wakatoliki kwakuwa sasa watapata urahisi kuwasilisha baadhi ya mambo yao pamoja na Taifa Kwa Ujumla hususani katika masuala ya amani kwakuwa hata maendeleo hayawezi kustawi bila amani
 
YAANI KANISA LA TANZANIA HULITAKI ILA VATICAN UNAISUJUDIA,😭😭😭😭😭
 
Back
Top Bottom