Wakatoliki Wenzangu wa Tanzania tuchangishane upesi tupate Dola 35,000 tukamkomboe Frateri aliyetekwa nchini Nigeria

Mungu wenu alikuwa wapi kumlinda huyo Father?

Bikra Maria alikuwa wapi kumlinda huyo Father!?

Yesu alikuwa wapi kumlinda huyo Father asitekwe na watu wasiomwamini Kristo?

Kweli nimeanza kuamini Yale maneno,ndo maana Mwamposa Aachi kulindwa na mabody guard!
 
Huna cha roho mtakatifu wewe,hata kama angekuwepo asingekaa ndani yako
 
Kwani Allah ndo kateka?
 
Wewe una Tabia mbaya za kutukana watu hovyo hta km hawajakukosea ndomaan Unaadhibiwa kwa Ban kila siku jitahid ukue kiakili kidogo
GENTAMYCINE huwa anatukana Watu bila ya Yeye Kuanza Kutukanwa?

Tafadhali nionyeshe Tusi lolote nililoanza Kumtukana Member hapa bila Kuanzwa.

Kwa kufurahia Kwako Mimi kupigwa BAN kila mara huwa zinasaidia Kupunguza Makali yako makubwa ya Umasikini wa Kipato na Akili vinavyokukabili?

Hongera kwa kuwa Muoga na Mnafiki kwa kuamua kuja na hii ID yako mbadala ukiachana na ile nyingine ukidhani GENTAMYCINE ni authentic Moron kama Wewe na sitoweza Kukujua.
 
Ila wanigeria bana ss ivi chanzo cha pesa kwa wengi ndo icho kuteka nyara....miaka michache nyuma tukiwa lagos pale mkenya alitekwa live na wakaanza kutuma whats up meseji kwa kutumia simu yake kwa wakenya wenzake.

Yaani dk 30 nyingi ikatumwa video clip wakiwa wamemkalisha kwenye kiti wamemfunga kamba wanampiga mabao weee walichanganyikiwa wale wakenya 🤣🤣🤣 aaah sitasahau ile siku.

Sema issue ilimalizwa na wenyewe wanigeria kwanza wanawajua na alirudishwa siku iyo iyo usiku ila alikua amevimba kwa kipigo🤣🤣🤣
 
Nawapa pole hao waseminari waliotekwa
Mkono wa Mungu utAwaokoa
 
Mchango wakwenda huko alitoa nan na alienda kufanya nn?isitoshenauli na mambo mengine yote ni sadaka za wakatiriki haohao sasa,let us pray for him,life iko tough sana.ni wakati wa kuongeza imani na sala ili ndg yetu apate nguvu na ujasiri wa kuvumilia mateso hayo na kuyashinda,
 
Serikali inayojiweka nyuma linapokuja suala la mwananchi, likiwa la ccm sasa, hata kuua wanaua. Tz ccm ndio kila kitu!
 
Acheni dharau nendeni kwa wagaga tu mbona swala ili lina tatulia kirahisi tu kwenye mambo ya asili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…