Wakazi amlipua Diamond vikali

Kiuhasilia topic Fulani ambayo ndiyo hayo maoni ya mtu tena maarufu kama diamond lazima yawe criticized tena na mtu wa industry kariba ya diamond kama wakazi ..

Why asikosoe maoni hayo ya diamond na aanzishe kitu kingine? Diamond ni nani?
Diamond ni mumeo
 
Kumbe kupambana na Kiba is a downgrade, I thought Kiba is as big, if not more than Mondi!
Ndio ni ukweli .
Mwanzo alikuwa kwenye matuzo anachuana na kina davido na alikuwa anawashinda lakini Leo anajibizana na kiba ambaye alishafika prime yake muda sana.
Ni downgrade not upgrade.
 
Napinga kabisa
Mara zote huyu diamond anapokosolewa kwa namna yoyote ile basi eti ni wivu .
Diamond ni tajiri lakini sio namba moja hapa bongo .

Kama wivu basi kwanini wasimuonee bakhresa au Rostam wamuonee diamond?? Ifike wakazi ijulikane diamond is not a GOD kwamba asiwe criticized ..

Wakazi alishamkosoa mpaka Nikki mbishi je nae Nikki ni tajiri sana mpaka aonewe wivu??
 
Kwani msanii number moja ni nani?
 
Kiuhasilia topic Fulani ambayo ndiyo hayo maoni ya mtu tena maarufu kama diamond lazima yawe criticized tena na mtu wa industry kariba ya diamond kama wakazi ..

Why asikosoe maoni hayo ya diamond na aanzishe kitu kingine? Diamond ni nani?
Wakazi kwani ni msanii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…