Wakazi amnyanyulia mikono Rosa Ree, afananisha juhudi zake na za Vanessa Mdee

Udakuz

Member
Joined
Feb 4, 2013
Posts
85
Reaction score
51
rosa-wakazi-jpg.791606

Wakazi ameshindwa kuvumilia na kutoa ya moyoni kuhusu msanii was kike Rosa Ree, Wakazi Amefunguka kuwa baada ya Vanessa Mdee Msanii anayefuata kwa juhudi katika mziki ni Rosa Ree , Ameandika haya kupitia ukurasa wake wa Twitter
 
Attachments

  • rosa wakazi.jpg
    rosa wakazi.jpg
    41.1 KB · Views: 161
CHEMICAL wa sasa sio yule chemical wa mwanzo. Keshaanza 'kuchakachuliwa'. Eti nowadays chemical anavaa wigi na kupaka shedo. Teh teh teh. She's now keeping it real, instead of keeping it right!

-Kaveli-
Chemical nyimbo zake nyingi soft, huwezi mfananisha na rosa lee.
 
CHEMICAL wa sasa sio yule chemical wa mwanzo. Keshaanza 'kuchakachuliwa'. Eti nowadays chemical anavaa wigi na kupaka shedo. Teh teh teh. She's now keeping it real, instead of keeping it right!

-Kaveli-
hip hop ya sasa hivi haiitaji rapa kuvaa kigumu gumu wala nini hayo ni mambo ya kizamani si yy tu mbona hata Nick minaj,Iggy azalea, Remy ma wanapaka shedo na kuvaa mawigi na ni marapa bora kabisa wa like duniani katika miaka ya karibuni.
 
In terms of 'flow' na 'mdondoko' kwenye ku-rap, namuelewa sana Rosa Ree.

When you mention of Tz hip-hop female emcees, Rosa Ree is the flag bearer!
Ana flow tamu sana huyu demu.

-Kaveli-
 
CHEMICAL wa sasa sio yule chemical wa mwanzo. Keshaanza 'kuchakachuliwa'. Eti nowadays chemical anavaa wigi na kupaka shedo. Teh teh teh. She's now keeping it real, instead of keeping it right!

-Kaveli-
Kila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado
 
hip hop ya sasa hivi haiitaji rapa kuvaa kigumu gumu wala nini hayo ni mambo ya kizamani si yy tu mbona hata Nick minaj,Iggy azalea, Remy ma wanapaka shedo na kuvaa mawigi na ni marapa bora kabisa wa like duniani katika miaka ya karibuni.

Reread my lines for you to catch-up well. Hukunielewa. My point was siku hizi CHEMICAL amebadilika in terms of 'PERSONALITY'. Dressing Code yake imebadilika sana. Nini kimembadilisha? hili ni suala jingine. Pia, change of personality yake slightly or impliedly imepelekea kuchange kwa 'rap style' yake, even the themes in her songs.

Ofkoz hip-hop haimanishi kuvaa kigumu gumu. But PERSONALITY has a huge contribution in Artist's fan base. Personality may trigger or roll-back the fan base ya msanii. Mfano, Nick Minaj aweza kuwa among of best female emcees globally, lakini ile vaa yake ya kimalaya na nusu uchi lazima inampunguzia a lot of fans kwenye sanaa yake. If ya know what am seyin.

-Kaveli-
 
Ila uzungu mwingi asee...sisi wa uswahilin tunadaka maneno machache sana tukiskiliza nyimbo zake. ..ila anajua
 
Kila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado

Binafsi, bado sijaona a remarkable change kwa FID... kuanzia rap style (flowing) yake, themes, na Personality yake.
Labda ni kwenye video yake moja tu goes by ''Bongo Hip Hop'' ndipo alielekea kuanza ku-change 'personality ya video' zake. Kwa tunayemjua FID, ukisikiliza Audio ya 'Bongo HipHop' lazima u-nod head. Ukija kutizama video ya wimbo huo, lazima utashangaa kihutu Hiiiiiiiiiiiiiiiiii, what the heck?!! Afterwards baada ya video hii, FID's fans disturbed na walidiss sana the PERSONALITY ya hiyo video. Then FID went back to the roots.

So unaposema kuwa FID kabadilika, mie binafsi naweza kutokukuelewa. Labda useme FID kabadilika kwenye lipi haswa?

BTW, let the center of discussion be on Rosa Ree and other like-minded female emcees. Just let's hit on FEMALE emcees, as the thread chants about Rosa Ree and the like.

Kila kitu unajua ww? Wenzio wasitoe msoni Yao?
 
Unajua maana ya 'personal views' a.k.a maoni binafsi ?

Kutoa 'maoni binafsi' ndiyo 'kujua kila kitu' ?

Ni wapi nimezuia wengine wasitoe maoni yao ?

Naomba unipe MAJAWABU (sio majibu) kwenye hayo maswali matatu ujione ulivyo mjinga (sio mpumbavu).

-Kaveli-
 
Sasa Unamuweka wapi STOSH

Wakazi naye hajui kitu unamuita Rosa Ree mc?
Wapi na wapi?
 
Kila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado
Rosa ree bdo kwanza simfananishi na Stosh, ze city
 
Suala la Wakazi kuappreciate ni mtazamo wake tu japo kuwa yeye ni icon kwenye game sawa, mtazamo wake n sehemu ya mjadala lakini haina maana ndo aufunge mjadala lahasha! kama ambavyo wapo washabiki wa hip hopo ambao hawamkubali yeye vivyo hivyo hata katika suala hili,. mahaba, ushabiki na mapenzi ya kawaida kwa mtu furani ndicho kitu pekee ambacho huongoza maamuzi ulimwenguni unless misingi ya kuchambulia tofauti zao ikiwekwa bayana. (Fikra Za Kijijini Zilizaa Jiji)
 
Back
Top Bottom