Namuelewa sana Chemical kuliko huyu Rosa Lee
Chemical nyimbo zake nyingi soft, huwezi mfananisha na rosa lee.CHEMICAL wa sasa sio yule chemical wa mwanzo. Keshaanza 'kuchakachuliwa'. Eti nowadays chemical anavaa wigi na kupaka shedo. Teh teh teh. She's now keeping it real, instead of keeping it right!
-Kaveli-
hip hop ya sasa hivi haiitaji rapa kuvaa kigumu gumu wala nini hayo ni mambo ya kizamani si yy tu mbona hata Nick minaj,Iggy azalea, Remy ma wanapaka shedo na kuvaa mawigi na ni marapa bora kabisa wa like duniani katika miaka ya karibuni.CHEMICAL wa sasa sio yule chemical wa mwanzo. Keshaanza 'kuchakachuliwa'. Eti nowadays chemical anavaa wigi na kupaka shedo. Teh teh teh. She's now keeping it real, instead of keeping it right!
-Kaveli-
Kila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine badoCHEMICAL wa sasa sio yule chemical wa mwanzo. Keshaanza 'kuchakachuliwa'. Eti nowadays chemical anavaa wigi na kupaka shedo. Teh teh teh. She's now keeping it real, instead of keeping it right!
-Kaveli-
hip hop ya sasa hivi haiitaji rapa kuvaa kigumu gumu wala nini hayo ni mambo ya kizamani si yy tu mbona hata Nick minaj,Iggy azalea, Remy ma wanapaka shedo na kuvaa mawigi na ni marapa bora kabisa wa like duniani katika miaka ya karibuni.
Kila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado
Binafsi, bado sijaona a remarkable change kwa FID... kuanzia rap style (flowing) yake, themes, na Personality yake.
Labda ni kwenye video yake moja tu goes by ''Bongo Hip Hop'' ndipo alielekea kuanza ku-change 'personality ya video' zake. Kwa tunayemjua FID, ukisikiliza Audio ya 'Bongo HipHop' lazima u-nod head. Ukija kutizama video ya wimbo huo, lazima utashangaa kihutu Hiiiiiiiiiiiiiiiiii, what the heck?!! Afterwards baada ya video hii, FID's fans disturbed na walidiss sana the PERSONALITY ya hiyo video. Then FID went back to the roots.
So unaposema kuwa FID kabadilika, mie binafsi naweza kutokukuelewa. Labda useme FID kabadilika kwenye lipi haswa?
BTW, let the center of discussion be on Rosa Ree and other like-minded female emcees. Just let's hit on FEMALE emcees, as the thread chants about Rosa Ree and the like.
-Kaveli-
AhahahahahahahahahaNamuelewa sana Chemical kuliko huyu Rosa Lee
Kila kitu unajua ww? Wenzio wasitoe msoni Yao?
Rosa ree bdo kwanza simfananishi na Stosh, ze cityKila mtu anabadilika hata Fid wa sasa sio yule wa zamani ila still Fid ni the best mc Chemical ana mashairi anaeleweka ana flow nzuri ukimsikiliza unapata kitu huyu mwingine bado