Little brain
JF-Expert Member
- Oct 31, 2020
- 4,282
- 6,303
hapo ni sawa unamaanisha Nay ni mkali zaidi ya Dizasta.. unasema haumjui jay moe Haha haha! we jamaa sasa nimeelewa kwanini mnamwita ngwair GOAT..Mbona mnatutajia wasanii Underground kipindi cha Ngwair?
Ngwair alikuwa anajulikana nchi nzima kwa style yake
Huyo mnamjua nyinyi tu
Weka fact mkuuSasa hapo cha ajabu ni nini? kufreestyle au hiyo tuzo?
Niweke fact gani wakati unasema humjui ata jay moe. umetanguliza ushabiki tayari huwezi ukanielewaWeka fact mkuu
Ubora sio mistari tu..ngwair alikuwa zaidi ya mistari..Mnaomsifia ngwea wekeni mistari yake tupambaninishe na ya kina Nikki Mbishi
Elimu dunia Ni Kali..Kama ya ferooz starehe.. lakini zipo nyuma ya A.K.A MIMIUshawahi kubahatika kusikiliza albam ya DAZ BABA "ELIMU DUNIA"?
Ingawa albam ya ngwear ni kali ila ya daz baba juu baada ya prof.j
Thanks..umetisha Sana..Bastola cash and.. toa code someka
wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka, napesa mingi mpaka natamani jiteka
then watu wapo king.ston ka Jamaica
ni ma model, madodo waku roll na ma Gangasta
Divas and Hustlers, Paper Chasers!
Nani anaeza piga ngoma kali ka hii???... me!
Nani anaeza gonga beat nzito ka hii?? ... P!
Yeah you know that ni Bongo Records true na Q east zoo tu juu au si skii
Usipime hizi records ,ziko heavy place nothin above it man, you gotta love it man!
Leo ni mwendo wa gambe tu na Malavidavi na warembo wakali matata ka Flavi.. (what?)
Tunapata zetu couple of rounds then ..yeah.. we outta of the town! R.I.P MAN GWAIR
Unajua wimbo wa ngwair aliomshirikisha Jay dee.kuhusu wanawake kupambania fulsa?NGWEA ANASIFIWA TU ILA HAJAWAI KUIMBA WIMBO WA MAAANA ZAIDI YA KUSIFIA NGONO, POMBE, MADEMU NA MADAWA YA KULEVYA.
Mkuu Jay Mo namjua mpaka nyimbo zake, tena huyu kafunikwa mbaya na Ngwair kwenye wimbo wa "kimya kimya" japo wimbo ni wake (Jay Mo)Niweke fact gani wakati unasema humjui ata jay moe. umetanguliza ushabiki tayari huwezi ukanielewa
Kwamba wakazi ndo Jay Mo au?hapo ni sawa unamaanisha Nay ni mkali zaidi ya Dizasta.. unasema haumjui jay moe Haha haha! we jamaa sasa nimeelewa kwanini mnamwita ngwair GOAT..
"Wakazi" ndo Jay Mo? Jay Mo nampata vizuri tu ila hawezi kumfikia Ngwair, maana kafunikwa mbaya kwenye wimbo aliyomshirikisha Ngwair unaoitwa Kimya kimyaNiweke fact gani wakati unasema humjui ata jay moe. umetanguliza ushabiki tayari huwezi ukanielewa
Hakuna msanii wa hipohop mwenye album Kali Kama a.k.a Mimi..!
Weka ambayo ipo konki mkuuOverrated Album, very average one.
Weka ambayo ipo konki mkuu
Unapokosoa weka na sahihisho
hamna kituKasikilize AKA mimi, sikiliza, msela
Maana yake ushakubali Kuna wasanii wapo wanaomzidi kwenye kipengele Cha uandishiTunazungumzia Freestyle mkuu
Ngwair title yake ni mkali wa michano ya Freestyle
Achana na utunzi au kuandika mashairi, mimi binafsi sijaona wa kumfikia linapokuja swala michano ya Freestyle
Sawa sio ligihamna kitu
Unaijua 'Sikiliza'? Na ile ngoma yake ya ukimwi je?NGWEA ANASIFIWA TU ILA HAJAWAI KUIMBA WIMBO WA MAAANA ZAIDI YA KUSIFIA NGONO, POMBE, MADEMU NA MADAWA YA KULEVYA.
Hapana hata huyo Wakazi anajua hilo, hawezi kufika hata robo ya Ngwair lolNgwair kama Ngwair......okay, je Ngwair kama Wakazi?
Kumbe hawa wakunyumba, oooooh woooowFor me Ngair was gifted ...sikio langu limejiridhisha kuwa kwa bongo sijawahi mskia rapper mkali km albert
Note
Ngwair ni mngoni
Professor j mngoni
Sterio mngoni
Godzilla mngoni
Hawa n baadhi ya wasanii kutoka Ruvuma ambao nawakubali sana
KabisaYupo sahihi kwa mtazamo wangu.