Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Mbona mnatutajia wasanii Underground kipindi cha Ngwair?

Ngwair alikuwa anajulikana nchi nzima kwa style yake
Huyo mnamjua nyinyi tu
hapo ni sawa unamaanisha Nay ni mkali zaidi ya Dizasta.. unasema haumjui jay moe Haha haha! we jamaa sasa nimeelewa kwanini mnamwita ngwair GOAT..
 
Bastola cash and.. toa code someka
wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka, napesa mingi mpaka natamani jiteka
then watu wapo king.ston ka Jamaica
ni ma model, madodo waku roll na ma Gangasta
Divas and Hustlers, Paper Chasers!
Nani anaeza piga ngoma kali ka hii???... me!
Nani anaeza gonga beat nzito ka hii?? ... P!
Yeah you know that ni Bongo Records true na Q east zoo tu juu au si skii
Usipime hizi records ,ziko heavy place nothin above it man, you gotta love it man!
Leo ni mwendo wa gambe tu na Malavidavi na warembo wakali matata ka Flavi.. (what?)
Tunapata zetu couple of rounds then ..yeah.. we outta of the town! R.I.P MAN GWAIR
Thanks..umetisha Sana..
Ngwair Ni the best
 
Niweke fact gani wakati unasema humjui ata jay moe. umetanguliza ushabiki tayari huwezi ukanielewa
Mkuu Jay Mo namjua mpaka nyimbo zake, tena huyu kafunikwa mbaya na Ngwair kwenye wimbo wa "kimya kimya" japo wimbo ni wake (Jay Mo)

Weka fact za huyo "Wakazi" au japo mistari yake ya verse moja ili tujiridhishe
Au weka mistari ya msanii yeyote yule ambayo wewe unaona ni bora kuliko Ngwair
 
Niweke fact gani wakati unasema humjui ata jay moe. umetanguliza ushabiki tayari huwezi ukanielewa
"Wakazi" ndo Jay Mo? Jay Mo nampata vizuri tu ila hawezi kumfikia Ngwair, maana kafunikwa mbaya kwenye wimbo aliyomshirikisha Ngwair unaoitwa Kimya kimya
Weka mistari yake hapa huyo Jay Mo tumlinganishe na Ngwair
 
Tunazungumzia Freestyle mkuu

Ngwair title yake ni mkali wa michano ya Freestyle

Achana na utunzi au kuandika mashairi, mimi binafsi sijaona wa kumfikia linapokuja swala michano ya Freestyle
Maana yake ushakubali Kuna wasanii wapo wanaomzidi kwenye kipengele Cha uandishi
 
For me Ngair was gifted ...sikio langu limejiridhisha kuwa kwa bongo sijawahi mskia rapper mkali km albert

Note

Ngwair ni mngoni
Professor j mngoni
Sterio mngoni
Godzilla mngoni

Hawa n baadhi ya wasanii kutoka Ruvuma ambao nawakubali sana
Kumbe hawa wakunyumba, oooooh woooow
 
Back
Top Bottom