Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Kama vp tufanyeni versus ya Nikki Mbishi na huyo ngwea, tuanze na nyimbo za kijamii, twende kwenye siasa, twende kwenye mapenzi ,majigambo etc
 
Ngwair was exceptional,
Mwulize fiQ kilichomkuta kwenye CNN. Alikiri ndiye msanii wa kwanza Tanzania [emoji1241] kumfanya afute verse aliyoandika na kuandika upya. Kuna siku nilikua natembea na bwana Albert zamani kidogo tunatoka mwenge kwa mapacha tunaelekea ghetto kwake knyama. Jamaa tunapiga story huku anafanya kama freestyle, tumefika kwake tayari akachukua peni akaanza kuandika. Kilichokuja kutokea ni hitsong moja kali sana kuwahi kutokea kutoka kwa ngwea. RIP
 
Fid wa kawaida mbele ya kina one na Nikki, nimesema weka content ya nyimbo za ngwea tushindanishe na content hiyohiyo Kwa nyimbo za Nikki mbishi, tuchambue nani mkali
 
Fid wa kawaida mbele ya kina one na Nikki, nimesema weka content ya nyimbo za ngwea tushindanishe na content hiyohiyo Kwa nyimbo za Nikki mbishi, tuchambue nani mkali
Yani unasema Ngosha wa kawaida Kwa Uno na Unju?

Umewapima kwenye vitu Gani hebu tujuze labda unaweza Kuwa uko sahihi
 
Kuna tofauti mkubwa kati ya RAPPER na MC katika utamaduni huu wa HIPHOP tukumbuke hata chitokololo kuku naye ni rapper,fergusson wa twanga Naye ni rapper pia japo ni wa band!!!
 
Upo sahihi.. kabisa
 
Sio kweli mkuu ngwair alikuwa na mashabiki wengi sana , ni mziki wake ulipendwa sana ..ana hits nyingi sana
 
Basi toa location toa code someka
 
Ngwea alimfanya Fid Q akarudie kuandika upya mashairi ya ubeti wa kwanza kwenye nyimbo ya CNN baada ya kumsikia Ngwea alichokiimba kwenye nyimbo hiyo.

Yule mwamba alikuwa next level.

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Na bado kizazi cha Diamond wanasema hamna kitu
Wanatutajia wasanii ambao wengine hatuwajui kwamba ndo bora kuliko Ngwair
 
yuko sahihi 100% and he has analysed quite well wakazi ni mkali anaijua game, ngwear kwa Godzilla na FidQ haingii kbsa
 
Ngwea alimfanya Fid Q akarudie kuandika upya mashairi ya ubeti wa kwanza kwenye nyimbo ya CNN baada ya kumsikia Ngwea alichokiimba kwenye nyimbo hiyo.

Yule mwamba alikuwa next level.

Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Wakazi kaelezea kila kitu, ngwea hakuwa kuwa on top kwenye game, alikuwa underground to mwenye kipaji na bidii kidogo he underutilized his Gift
 
True kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…