Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
NGWEA ANASIFIWA TU ILA HAJAWAI KUIMBA WIMBO WA MAAANA ZAIDI YA KUSIFIA NGONO, POMBE, MADEMU NA MADAWA YA KULEVYA.
Sikiliza track inaitwa “Maskini wenzangu “
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
NGWEA ANASIFIWA TU ILA HAJAWAI KUIMBA WIMBO WA MAAANA ZAIDI YA KUSIFIA NGONO, POMBE, MADEMU NA MADAWA YA KULEVYA.
Ngwair wamuache kama alivyo tuuuu, jamaa alikuwa kichwa sanaaa, hakuna na ajazaliwa Rapper wa kumfikia NgwairBadala ya kujibu hoja wanamshambulia mtoa hoja, hao ndo wabongo.
Kweli Ngwea huwa anapewa utukufu ambao hana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona washikaji zake One Credible wamekuja kuweka LikeSoga za Mzawa ya One the incredible ni content mwanzo mwisho
Fid wa kawaida mbele ya kina one na Nikki, nimesema weka content ya nyimbo za ngwea tushindanishe na content hiyohiyo Kwa nyimbo za Nikki mbishi, tuchambue nani mkaliNgwair was exceptional,
Mwulize fiQ kilichomkuta kwenye CNN. Alikiri ndiye msanii wa kwanza Tanzania [emoji1241] kumfanya afute verse aliyoandika na kuandika upya. Kuna siku nilikua natembea na bwana Albert zamani kidogo tunatoka mwenge kwa mapacha tunaelekea ghetto kwake knyama. Jamaa tunapiga story huku anafanya kama freestyle, tumefika kwake tayari akachukua peni akaanza kuandika. Kilichokuja kutokea ni hitsong moja kali sana kuwahi kutokea kutoka kwa ngwea. RIP
Yani unasema Ngosha wa kawaida Kwa Uno na Unju?Fid wa kawaida mbele ya kina one na Nikki, nimesema weka content ya nyimbo za ngwea tushindanishe na content hiyohiyo Kwa nyimbo za Nikki mbishi, tuchambue nani mkali
Mi nimerest my case aisee, mambo ya ligi hayaYani unasema Ngosha wa kawaida Kwa Uno na Unju?
Umewapima kwenye vitu Gani hebu tujuze labda unaweza Kuwa uko sahihi
Baada ya kusmoki wid pengine penginepoYupo sahihi, ingawaje nashangaa jamaa alipatwa na nini hadi aanze kumfikiria marehemu Cowbama saa hii
Upo sahihi.. kabisaKumsaidia bwana mdogo Wakazi ni kuwa, Ngwea sio Rapa tu bali ni full package.
Kwa nini? Ngwea ni kifurushi kilicho kamili yaani ukimshinda huku yeye atakushinda kule na pale.
Ngwea ana Rap, ana flow kali, ni mwandishi mzuri, anaimba, anafanya Freestyle kwa kiwango kikubwa nk na pia ni miongoni mwa Rappers wachache wenye hit song nyingi.
Mfano Chid akimzidi Ngwea kwa flow atazidiwa kwa freestyle, Mbishi akimzidi Ngwea kwa freestyle atazidiwa kwa flow, F.A akimzidi Ngwea kwa uandishi basi atazidiwa kwa kuimba nk.
Yaani Ngwea ni package iliyokamilika hivyo ni mtu asiyefananishwa, mfano Prof. Jay, Jay Moe na wengineo ni wakali kwenye Hip hop hasa upande wa story nk lakini hawawezi freestyle.
Fid q, Mwana F.a ni waandishi wazuri lakini hawawezi freestyle.
Nikki Mbishi ni mkali wa uandishi na freestyle lakini bado kuna mengi kwa Ngwea ambayo yeye ama hayawezi au hajayafanya.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Sio kweli mkuu ngwair alikuwa na mashabiki wengi sana , ni mziki wake ulipendwa sana ..ana hits nyingi sanaKabisaaa, miaka ya mwishomwisho wa uhai wake Ngwea alikuwa kama ashapotea kwenye ramani ya muziki, hakuwa anazungumziwa. Ila alipokufa ni kama alizaliwa upya, enzi za uhai wake hakuwahi kupewa sifa ambazo wamewahi kupewa kina Profesa Jay/Fid Q/Juma Nature n' the likes, ila baada ya kufariki watu wanamuona kama ndio the GOAT[emoji2][emoji2]
Basi toa location toa code somekaBastola cash and.. toa code someka
wapi lipo bata wapi leo kinaeleweka, napesa mingi mpaka natamani jiteka
then watu wapo king.ston ka Jamaica
ni ma model, madodo waku roll na ma Gangasta
Divas and Hustlers, Paper Chasers!
Nani anaeza piga ngoma kali ka hii???... me!
Nani anaeza gonga beat nzito ka hii?? ... P!
Yeah you know that ni Bongo Records true na Q east zoo tu juu au si skii
Usipime hizi records ,ziko heavy place nothin above it man, you gotta love it man!
Leo ni mwendo wa gambe tu na Malavidavi na warembo wakali matata ka Flavi.. (what?)
Tunapata zetu couple of rounds then ..yeah.. we outta of the town! R.I.P MAN GWAIR
Na bado kizazi cha Diamond wanasema hamna kituNgwea alimfanya Fid Q akarudie kuandika upya mashairi ya ubeti wa kwanza kwenye nyimbo ya CNN baada ya kumsikia Ngwea alichokiimba kwenye nyimbo hiyo.
Yule mwamba alikuwa next level.
Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
yuko sahihi 100% and he has analysed quite well wakazi ni mkali anaijua game, ngwear kwa Godzilla na FidQ haingii kbsaView attachment 2110726
Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi yake.
Kupitia ukurasa huo wa Twitter alisema "Ngwear was a good rapper no doubt, but sometimes i wonder what people saw in him that was so exceptional.
"I think he was gifted in a way it seem he did it effortlessly, but i know about a dozen of emcees with better rap skills than him.
"Btw, the comparison i made isn’t literal"
Kauli hiyo imeamsha hisia za watu wengi waliomshambulia kutokana na kupingana na mtazamo wake.
Wakazi kaelezea kila kitu, ngwea hakuwa kuwa on top kwenye game, alikuwa underground to mwenye kipaji na bidii kidogo he underutilized his GiftNgwea alimfanya Fid Q akarudie kuandika upya mashairi ya ubeti wa kwanza kwenye nyimbo ya CNN baada ya kumsikia Ngwea alichokiimba kwenye nyimbo hiyo.
Yule mwamba alikuwa next level.
Sent from my Moto C using JamiiForums mobile app
Miaka karibia 10 tangu ngwair atutoke still mziki wake unaishiaUkitaka kujua ngwair alikuwa tofaut, amefariki muda mrefu bt bado yupo kichwaniii mwa wasanii walobaki
True kabisaKabisaaa, miaka ya mwishomwisho wa uhai wake Ngwea alikuwa kama ashapotea kwenye ramani ya muziki, hakuwa anazungumziwa. Ila alipokufa ni kama alizaliwa upya, enzi za uhai wake hakuwahi kupewa sifa ambazo wamewahi kupewa kina Profesa Jay/Fid Q/Juma Nature n' the likes, ila baada ya kufariki watu wanamuona kama ndio the GOAT[emoji2][emoji2]