Wakazi apata wakati mgumu baada ya kusema kuna rappers wengi Tanzania wakali kumshinda Ngwair

Kwangu Mimi listi ya wanahiphop
1 Nikki Mbishi
2 one
3 Fid q
Co kwamba cmkubali fid ,nna nyimbo zake kadhaa ,ila nyingine sisikilizagi hadi mwisho naona mood inakata, Kwa mfano Ile nyimbo na daimond yeye mwenyewe anaona hit ila co kwangu ,mm ntakwambia ielewe mitaa ni Kali, aliyoimba na mwimba taarab ndo kabisa sitaki kuisikia. Ila nyimbo nyingi za one na Nikki najikuta naburudika na content na namna wanavyocheza na maneno
 
Kama mimi ukimtoa Fid.

One the incredible na Nikki Mbishi ndio Wana hip-hop bora kabisa wa kizazii hiki.
 
Ndio maana nikasema we umeweka opinions mi nimemwaga facts tu.

Ndio utofauti wetu hapo.
 
Aka Mimi ya Ngwear alikuwa more bongo fleva while Sauti ya Jogoo ni more Hip Hop

Tafuta muda sikiliza album ya Sauti ya Jogoo
Mnatetea album ambayo haina hits hata 3 wakuu..
 
Nahisi hukuwahi kusikiliza albamu ya 'Ulimwengu ndio Mama' ya Juma Mohamed Mchopanga aka J Mo au Mo technic
Twende taratibu.


Ina hits ngapi?

Mind you a.k.a mimi ilizishinda hadi album za Bongo fleva ikawa album if the year mwaka iliotoka
 
Hits ndio nini ?
Hawa jamaa inaonekana ukiwauliza dizasta vina na bill Nas nani mkali, watakwambia bill Nas kwasabu ana hits nyingi kuliko dizasta au nyimbo zake zina views wengi kuliko dizasta
 
Kuna watoto wengi sana hapa ndio tatizo. Wakazi mwenyewe Ngwair anachukua Kili music awards anakula kuku na mrija sijui US huko, kaikuta game nyepeeeeesi anajikuta mchambuzi [emoji23]

Game gani nyepesi amabayo Wakazi kaikuta, kafanya nini katika hiyo gemu nyepesi?

Itoshe tu kusema Wakazi katoa maoni au mtazamo wake, kila mmoja anayo haki hiyo…. ila tu asijaribu kujitekenya kuwa katika hao wakali kwa Alberto na yeye ni mmoja.
 
Marehemu huwa hasemwi vibaya

Wananzengo wakaanza kumshambulia mleta hoja badala ya kushambulia hoja
 
1. Bishoo
2. Kama unataka demu
3. Mvua na Jua
4. Safari Njema
Safi sana.

Na mimi nakuja na za kwenye a.k.a mimi

1. Mikasi

2. Ghetto langu

3. She got a gwan

4. Napokea simu


Hapo uzani wa hizi nyimbo unafanana? tuweke ushabiki pembeni.

Sijangumzia tge fact kuwa a.k.a mimi ilikuwa the best album mwaka iliotoka.
 
Hawa jamaa inaonekana ukiwauliza dizasta vina na bill Nas nani mkali, watakwambia bill Nas kwasabu ana hits nyingi kuliko dizasta au nyimbo zake zina views wengi kuliko dizasta
Hapa tunazungumzia albums mkuu.
 
Hits ndio nini ?
Nyimbo zinazobamba/zilizokubalika/zinazopendwa sana,

Kama zilivyotoka Mikasi, She got a gwan, Gheto langu za Ngwair/Starehe ya Ferooz/Nikusaidieje ya Prof Jay/Mtazamo na Darubini kali za Afande Sele na nyinginezo

Hizo ndo mfano wa Hits
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…