Mjukuu wa Magika
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 550
- 1,071
Ngwear did his own raps and Godzilla the likes. R.I.P can't talk about them
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwangu Mimi listi ya wanahiphopKwa nini yaani au kipi? Unafurahisha sana chief.. hebu kaa hapo sikiliza kwanza Album ya Vina Mwanzo, Kati na Mwisho then uje mara ya pili.. huo uandishi wa kina One, Nikki, sijui punchlines hizo Multisyllabic rhymes Fid kapiga miaka ya 2000 huko na Fid Q.Com hivi hizi story za vijiwe vya kahawa huwa hamuoni noma kudanganyana?
Issue za political Fid kaimba Propaganda bado huyo Nikki hatarajii kuwa msanii, sijui party n.k mnawajaza sana hawa jamaa, sio wabaya ila mnawajaza sana
Sure bt wakazi anaishi Ila muziki wake umekufa, lazima awewesekeMiaka karibia 10 tangu ngwair atutoke still mziki wake unaishia
Kama mimi ukimtoa Fid.Kuna mamcee wanaandika nyie, kama one the incredible Kuna mistari inabidi urudierudie kuisikiliza uelewe amemaanisha nini, ila hao kina profesa jay cjui ngwea wanamistari unaielewa very direct bila kuumiza kichwa.
Kwangu Mimi Nikki Mbishi na one the Incredible ni the best mcees niliowahi kuwasikia
Ndio maana nikasema we umeweka opinions mi nimemwaga facts tu.Ukizungumzia Hits ni kweli SYJ haiizidi a.k.a mimi ila hiko sio kigezo pekee. Nimekupa mfano wa Ilmatics the best hip hop album ever lkn haina hits kali kama get rich or die tryin ya 50 cent ambayo hata kwenye 10 bora haipo. Nyimbo inaweza kuwa kali sana lkn isiwe hit due to some factors.
Bado kwangu SYJ kiufundi, uandishi, mitambao, maudhui, midundo, mitindo, mchanganyiko wa mada nk. Is the best.
Undisputed [emoji91]
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Daz baba ni mwanahiphop ?Ushawahi kubahatika kusikiliza albam ya DAZ BABA "ELIMU DUNIA"?
Ingawa albam ya ngwear ni kali ila ya daz baba juu baada ya prof.j
Tutajie hits za hiyo album mkuuULIMWENGU NDIO MAMA _ JayMo
Mnatetea album ambayo haina hits hata 3 wakuu..Aka Mimi ya Ngwear alikuwa more bongo fleva while Sauti ya Jogoo ni more Hip Hop
Tafuta muda sikiliza album ya Sauti ya Jogoo
Twende taratibu.Nahisi hukuwahi kusikiliza albamu ya 'Ulimwengu ndio Mama' ya Juma Mohamed Mchopanga aka J Mo au Mo technic
Hits ndio nini ?Mnatetea album ambayo haina hits hata 3 wakuu..
Ndio mkuuNiliwahi kumsikia Ngwea akisema haya wakati anahojiwa haya kwenye kipindi cha radio. Kumbe mlikuwa wote mkuu?
Hawa jamaa inaonekana ukiwauliza dizasta vina na bill Nas nani mkali, watakwambia bill Nas kwasabu ana hits nyingi kuliko dizasta au nyimbo zake zina views wengi kuliko dizastaHits ndio nini ?
Kuna watoto wengi sana hapa ndio tatizo. Wakazi mwenyewe Ngwair anachukua Kili music awards anakula kuku na mrija sijui US huko, kaikuta game nyepeeeeesi anajikuta mchambuzi [emoji23]
Tutajie hits za hiyo album mkuu
Safi sana.1. Bishoo
2. Kama unataka demu
3. Mvua na Jua
4. Safari Njema
Hapa tunazungumzia albums mkuu.Hawa jamaa inaonekana ukiwauliza dizasta vina na bill Nas nani mkali, watakwambia bill Nas kwasabu ana hits nyingi kuliko dizasta au nyimbo zake zina views wengi kuliko dizasta
Kama haujui maana ya hits ushapoteza intellectual authority ya kuzungumzia hii mada.Hits ndio nini ?
Nyimbo zinazobamba/zilizokubalika/zinazopendwa sana,Hits ndio nini ?