Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Kichaa unacho wewe
kula jichokonoe urambe
kula jichokonoe urambe
Una kichaa.
We unajua utakufa kifo cha heshima ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una kichaa.
We unajua utakufa kifo cha heshima ?
Sauti ya Jogoo by nikki mbishi ni kali sana. Lyrics, flow, content, beats, etc. Zote hizo aspects humo ni za moto.Nitajie msanii wa hiphop mwenye album kali kuizidi a.k.a mimi (achana na machozi, jasho na damu ya Prof )
Ngwea na Sister P utawaweka kundi moja? Ngweah was a real MC, while others are just rappersView attachment 2110726
Msanii wa Hiphop Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi yake.
Kupitia ukurasa huo wa Twitter alisema "Ngwear was a good rapper no doubt, but sometimes i wonder what people saw in him that was so exceptiona
I think he was gifted in a way it seem he did it effortlessly, but i know about a dozen of emcees with better rap skills than him.
Btw, the comparison i made isn’t literal"
Kauli hiyo imeamsha hisia za watu wengi waliomshambulia kutokana na kupingana na mtazamo wake.
Hakuna msanii wa hipohop mwenye album Kali Kama a.k.a Mimi..!Nitajie msanii wa hiphop mwenye album kali kuizidi a.k.a mimi (achana na machozi, jasho na damu ya Prof )
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahKichaa unacho wewe
kula jichokonoe urambe
Umemaliza kila kitu.Kumsaidia bwana mdogo Wakazi ni kuwa, Ngwea sio Rapa tu bali ni full package.
Kwa nini? Ngwea ni kifurushi kilicho kamili yaani ukimshinda huku yeye atakushinda kule na pale.
Ngwea ana Rap, ana flow kali, ni mwandishi mzuri, anaimba, anafanya Freestyle kwa kiwango kikubwa nk na pia ni miongoni mwa Rappers wachache wenye hit song nyingi.
Mfano Chid akimzidi Ngwea kwa flow atazidiwa kwa freestyle, Mbishi akimzidi Ngwea kwa freestyle atazidiwa kwa flow, F.A akimzidi Ngwea kwa uandishi basi atazidiwa kwa kuimba nk.
Yaani Ngwea ni package iliyokamilika hivyo ni mtu asiyefananishwa, mfano Prof. Jay, Jay Moe na wengineo ni wakali kwenye Hip hop hasa upande wa story nk lakini hawawezi freestyle.
Fid q, Mwana F.a ni waandishi wazuri lakini hawawezi freestyle.
Nikki Mbishi ni mkali wa uandishi na freestyle lakini bado kuna mengi kwa Ngwea ambayo yeye ama hayawezi au hajayafanya.
Sent from my SM-G532F using JamiiForums mobile app
Huyu wakazi ni idiot anataka kiki za kipumbavu tu.Pengo lake halina spare mbona iko wazi!
Style yake iko very unique na delivery is on top! Freestyling hamna anaemfikia mpaka sasa Chid alijaribu ila bado
Soga za Mzawa ya One the incredible ni content mwanzo mwishoNitajie msanii wa hiphop mwenye album kali kuizidi a.k.a mimi (achana na machozi, jasho na damu ya Prof )
Sauti ya jogoo haina hata hit moja ya kushindana na ghetto languSauti ya Jogoo by nikki mbishi ni kali sana. Lyrics, flow, content, beats, etc. Zote hizo aspects humo ni za moto.
Mchanganyiko wa hits za style tofauti na maudhui tofauti kuanzia politcs, social issues, storytelling, horror, partying, tambo na majivuno, mapenzi na mahusiano yaani ni full package.
Wakati huo nikki mbishi hafai ukichanganya na mkono wa Duke na kila ngoma ukiskiza unaskia ufundi ulioenda shule. Naifananisha na Ilmatics ya Nas haikufanya poa sana sokoni lkn ndio arguably the best Hiphop album of all time.
Kwa hapa Tz SYJ naiweka kwenye 3 bora (of all time) sijui hizo mbili wewe utachagua ipi na ipi lkn Mimi by Ngwair itanisamehe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Sauti ya Jogoo by nikki mbishi ni kali sana. Lyrics, flow, content, beats, etc. Zote hizo aspects humo ni za moto.
Mchanganyiko wa hits za style tofauti na maudhui tofauti kuanzia politcs, social issues, storytelling, horror, partying, tambo na majivuno, mapenzi na mahusiano yaani ni full package.
Wakati huo nikki mbishi hafai ukichanganya na mkono wa Duke na kila ngoma ukiskiza unaskia ufundi ulioenda shule. Naifananisha na Ilmatics ya Nas haikufanya poa sana sokoni lkn ndio arguably the best Hiphop album of all time.
Kwa hapa Tz SYJ naiweka kwenye 3 bora (of all time) sijui hizo mbili wewe utachagua ipi na ipi lkn Mimi by Ngwair itanisamehe.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Yaani siijui nyimbo yake hata mojahuyo wakazi ndo nani