Belo
JF-Expert Member
- Jun 11, 2007
- 12,897
- 10,213
Kwenye Hip Hop hatuna hivyo vituKama haujui maana ya hits ushapoteza intellectual authority ya kuzungumzia hii mada.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwenye Hip Hop hatuna hivyo vituKama haujui maana ya hits ushapoteza intellectual authority ya kuzungumzia hii mada.
Safi sana.
Na mimi nakuja na za kwenye a.k.a mimi
1. Mikasi
2. Ghetto langu
3. She got a gwan
4. Napokea simu
Hapo uzani wa hizi nyimbo unafanana? tuweke ushabiki pembeni.
Sijangumzia tge fact kuwa a.k.a mimi ilikuwa the best album mwaka iliotoka.
With all due respect, sijaona fact yeyote hapo zaidi ya opinions tu pia.Ndio maana nikasema we umeweka opinions mi nimemwaga facts tu.
Ndio utofauti wetu hapo.
Anachosema ndiyo ukweli, ukinuna Meza dafu... Kwani maisha ni lazima ubugie hayo ma pipi kifua??Una kichaa.
We unajua utakufa kifo cha heshima ?
Opinions?!!.With all due respect, sijaona fact yeyote hapo zaidi ya opinions tu pia.
Kwani nini umetoa, numbers? Album reviews? Ratings? Awards?(hiyo tuzo aliyopata A.k.a mimi si ni ya bongo fleva!?) Come on man!
Kwa TZ kupata facts km hizo unapojudge ipi ni album bora (hasa kwenye HipHop) ni ngumu cuz hamna sources i.e charts, majarida, mitandao, tuzo, taasisi km RIAA ambazo zinadeal moja kwa moja na hayo mambo km huko kwa wenzetu! Insbidi tu tutumie opinions zetu.
Vigezo unavyoweza kuvitumia kupima ubora wa album ya hiphop* kwa kuzingatia; 1. Content/ujumbe, namna msanii ameweza kuzigusa aspect tofauti za maisha ya jamii inayomzunguka kama vile siasa, uchumi, mambo ya kijamii kama mapenzi, mahusiano, familia, tambo na majigambo nk. 2. Style/mitindo Ilotumika kusalimisha maudhui ya msanii kama vile masimulizi/storytelling, direct message, partying, nyimbo za taratibu normally za kuskiza tu huwez kuzipiga kwenye bata nk. (kwenye SYJ kuna mpaka mitindo huru/freestylin') 3. Uandishi, hapa lzm ufundi wa uandishi uonekane tena wa kihiphop zaidi. Mpangilio wa bars, vina, set ups, punchlines nk. Yaani mtu akikaa na kuskiza anasema kweli hapa huyu msanii kaandika 4. Flow, mitambao ya kihip hop inayoendana na midundo na mitindo ya kila nyimbo kwenye album. Hapa pia inahusika Sauti ya msanii na ubora wake kuyatamka maneno vizuri sio mtu penye R anaweka L, pia slang ikibidi. 5. Midundo. Midundo iwe makini hapa pia unaweza kujumuisha ufundi wa producer kwenye mixing nk.
Kwa namna yeyote ile hapo hamna kigezo chochote a.k.a mimi iko vizuri zaidi ya SYJ. Au labda kama unataka tuanze sasa kuchambua nyimbo moja moja.
Nyimbo kama Nimezama ya kwenye SYJ unaskiliza jinsi anavyosimulia Tena ni story ametengeneza mwenyewe kwenye kichwa chake, anavyoanza na anavyomaliza hutegemei unabaki tu unatikisa kichwa.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Mkuu uko nayo hyo Ngoma ya umezama unitumie humu au PM?With all due respect, sijaona fact yeyote hapo zaidi ya opinions tu pia.

What a joke! [emoji28][emoji28]Fid wa kawaida mbele ya kina one na Nikki, nimesema weka content ya nyimbo za ngwea tushindanishe na content hiyohiyo Kwa nyimbo za Nikki mbishi, tuchambue nani mkali
Godzilla?[emoji13]yuko sahihi 100% and he has analysed quite well wakazi ni mkali anaijua game, ngwear kwa Godzilla na FidQ haingii kbsa
..Tutajie hits za hiyo album mkuu
Unataka Uzani upi, mashairi/melody/kuhit au nini?Safi sana.
Na mimi nakuja na za kwenye a.k.a mimi
1. Mikasi
2. Ghetto langu
3. She got a gwan
4. Napokea simu
Hapo uzani wa hizi nyimbo unafanana? tuweke ushabiki pembeni.
Sijangumzia tge fact kuwa a.k.a mimi ilikuwa the best album mwaka iliotoka.
Ongezea..
1. Kama unataka dem
2. Bishoo
3. Mvua na Jua
4. Maisha ya Boarding
5. Safari Njema
Hizo ziko kwenye Album tofautiOngezea
Story tatu tofauti, Tingisha.
Umenikumbusha Mapacha, Ngwea na Nurueli kwenye ngoma ya NIPE JIBU.Ngwair was exceptional,
Mwulize fiQ kilichomkuta kwenye CNN. Alikiri ndiye msanii wa kwanza Tanzania [emoji1241] kumfanya afute verse aliyoandika na kuandika upya. Kuna siku nilikua natembea na bwana Albert zamani kidogo tunatoka mwenge kwa mapacha tunaelekea ghetto kwake knyama. Jamaa tunapiga story huku anafanya kama freestyle, tumefika kwake tayari akachukua peni akaanza kuandika. Kilichokuja kutokea ni hitsong moja kali sana kuwahi kutokea kutoka kwa ngwea. RIP
Hivi huyu kaishi state kweli!? Mbona anaonekana mshambamshamba sanaView attachment 2110726
Msanii wa Hip Hop, Webiro Wakazi Wassira maarufu kwa jina la "Wakazi" amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada ya kuandika katika mtandao wa Twitter kuwa Albert Magwear alikuwa ni rapper mzuri lakini haelewi watu waliona nini ndani yake, maana kuna rappers wengi nchini wenye uwezo mkubwa zaidi yake.
Kupitia ukurasa huo wa Twitter alisema "Ngwear was a good rapper no doubt, but sometimes i wonder what people saw in him that was so exceptional.
"I think he was gifted in a way it seem he did it effortlessly, but i know about a dozen of emcees with better rap skills than him.
"Btw, the comparison i made isn’t literal"
Kauli hiyo imeamsha hisia za watu wengi waliomshambulia kutokana na kupingana na mtazamo wake.