Wakazi Vs Godzilla yupi ni master

Godzilla has always been trash. He can rap on a beat alright, but he never says anything that really makes sense. Halafu kuna ushamba na ujinga vimemzidi. Wakazi naye too much unnecessary dramas lately. Huyo mtangazaji na producer wake wajipange tena, wameshindwa ku-control kipindi bana.
 
Wakazi alipania sana
 
Cooper hiyo kwasasa hawezi session nilishindwa hata kuimaliza.. maneno mobb ila akiwekewa beat inammeza.

Bongo freestyles zimekufa. Totally buried.
 
Wakazi alipania sana

Sijaelewa hata ugomvi wao ulianza vipi. Nimefuatilia timelines zao ila nimetoka kapa.

Cooper hiyo kwasasa hawezi session nilishindwa hata kuimaliza.. maneno mobb ila akiwekewa beat inammeza.

Bongo freestyles zimekufa. Totally buried.

Kama nilivyosema mwanzo, Zilla sijawahi kumkubali kabisa. Amejaa ulimbukeni, ushamba na ujinga. Zilla kama Snoop Dogg, wanaweza kwenda na beats ila hakuna cha maana wanachosema.

Nadhani freestyles zinadumaa kwa sababu hakuna 'marefarii' wenye uwezo wa kusimamia. Angalia kama hao jamaa hapo studio.
 
Waliwahi kushindanishwa na wasikilizaji wakampa ushindi Zilla hapo hapo
so Wakazi alikasirishwa hiyo battle ilikuwa ya pili ndo maana aliipania sana
 
Boss Zilla wakati
anatoka alibadili Game
na kuipa ladha flan ya tofauti sana na rap tulizozoea Bongo.

Poa labda mantiki yake
ila alivyokua anapita na beat kama unapenda rap lazima uburudike unaposema hujawahi kumkubali kabisa sidhan kama
ulimsikiliza Zilla vyema
 
Waliwahi kushindanishwa na wasikilizaji wakampa ushindi Zilla hapo hapo
so Wakazi alikasirishwa hiyo battle ilikuwa ya pili ndo maana aliipania sana

Basi Wakazi anafeli. Haikuwa na maana hata kutilia maanani hayo matokeo, kwa sababu ni hisia za watu tu na haziingilii mikate yao wote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…