CHE Raptino
JF-Expert Member
- Mar 11, 2017
- 1,027
- 1,068
Akawa kama jamaa waleAsije akafika kwenye Poda tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akawa kama jamaa waleAsije akafika kwenye Poda tu
Godzilla has always been trash. He can rap on a beat alright, but he never says anything that really makes sense. Halafu kuna ushamba na ujinga vimemzidi. Wakazi naye too much unnecessary dramas lately. Huyo mtangazaji na producer wake wajipange tena, wameshindwa ku-control kipindi bana.
Hahaha sawaYani kama De Andy ndo anasababisha haya..Nikikutana nae ntamnasa makofi...Hawezi kutupotezea kijana kindezi hivi..
Yeah ndio maana akitoa hata ngoma haipati Airtime kwenye main streamExactly
Godzilla has always been trash. He can rap on a beat alright, but he never says anything that really makes sense. Halafu kuna ushamba na ujinga vimemzidi. Wakazi naye too much unnecessary dramas lately. Huyo mtangazaji na producer wake wajipange tena, wameshindwa ku-control kipindi bana.
Wengine wanasemaga hivi,Shukrani mkuu, huwa nayatafta sana haya maneno kwenye ule wimbo
Mpe mbinu arudi mkuuYeah ndio maana akitoa hata ngoma haipati Airtime kwenye main stream
Wakazi alipania sana
Cooper hiyo kwasasa hawezi session nilishindwa hata kuimaliza.. maneno mobb ila akiwekewa beat inammeza.
Bongo freestyles zimekufa. Totally buried.
Sijaelewa hata ugomvi wao ulianza vipi. Nimefuatilia timelines zao ila nimetoka kapa.
Kama nilivyosema mwanzo, Zilla sijawahi kumkubali kabisa. Amejaa ulimbukeni, ushamba na ujinga. Zilla kama Snoop Dogg, wanaweza kwenda na beats ila hakuna cha maana wanachosema.
Nadhani freestyles zinadumaa kwa sababu hakuna 'marefarii' wenye uwezo wa kusimamia. Angalia kama hao jamaa hapo studio.
Haha na hii ndo huwa naijua aiseeWengine wanasemaga hivi,
"Mr zombi men"
Boss Zilla wakatiSijaelewa hata ugomvi wao ulianza vipi. Nimefuatilia timelines zao ila nimetoka kapa.
Kama nilivyosema mwanzo, Zilla sijawahi kumkubali kabisa. Amejaa ulimbukeni, ushamba na ujinga. Zilla kama Snoop Dogg, wanaweza kwenda na beats ila hakuna cha maana wanachosema.
Nadhani freestyles zinadumaa kwa sababu hakuna 'marefarii' wenye uwezo wa kusimamia. Angalia kama hao jamaa hapo studio.
Waliwahi kushindanishwa na wasikilizaji wakampa ushindi Zilla hapo hapo
so Wakazi alikasirishwa hiyo battle ilikuwa ya pili ndo maana aliipania sana
Hahah kwani si ana management yake..imsaidieMpe mbinu arudi mkuu
Huyu Zizi ni stress zinamsumbua ama nini..Mbona kama anapoteza siku hizi..