Hawezi fuatilia fidstyle cheusi dawa kuna cypher yupo hawezi anajin'gatan'gata.Wakazi kwa Freestyle sijawahi kumkubali
hahahahahah aiseee kwa hiyo dish limeyumba?Godzilla sikuhizi ukimuuliza tu oya mambo vipi anacheka kinoma
Kama unamfahamu mtu vizuri akianza kupata matatizo lazima utafahamu (wasanii wenzake+watangazaji wanafahamu hayuko sawa),Godzilla baba yake alifariki akiwa mdogo sana so amelelewa na mama yake.Naskia story matatizo yamemuanza baada ya kuachana na demu wake Doreen ambaye walizaa nae (sijui chanzo nini)Akidata kabisa ndo utawaona wakitoka na kutoa sapoti..Ila kwa sasa watu wanamkejeli tu..So bad aisee
Ana tatizo gani mshkaji..Ni game inampa stress au ndo hizo stori za kupigwa kibuti zinamchanganya?
hahahahahah aiseee kwa hiyo dish limeyumba?
....chief,mpaka aongee?Dish limeyumba kiukweli, watu wanasema ana stress kali sana ila anataka ku act yuko sawa badala ya kuongea yanayomsibu asaidiwe.
uyo nchana yuko wapi mkuu ...kuna washkaji kibao tu wanajua freestyle nliokuwa nao chuo sema sasa hivi wanakazi zao rasmi....ila hawa wa sasa wanaojipambanua kwenye media naona kama wanazingua tu aisee.Dish limeyumba kiukweli, watu wanasema ana stress kali sana ila anataka ku act yuko sawa badala ya kuongea yanayomsibu asaidiwe.
Nlitaka niupload video zimegoma akiwa anafreestyleuyo nchana yuko wapi mkuu ...kuna washkaji kibao tu wanajua freestyle nliokuwa nao chuo sema sasa hivi wanakazi zao rasmi....ila hawa wa sasa wanaojipambanua kwenye media naona kama wanazingua tu aisee.
Huyo motra namfaham hata kabla hajajulikana ni wakawaida sna kuna battle freestyle walifanya na Haidary scoda motra alifichwa km sehemu za siri.Kuna wengi sana Wa free style ila nadhani Mo tra the future ni engine nyingine kwa sasa
Hasikiki ndo tatizoHuyo motra namfaham hata kabla hajajulikana ni wakawaida sna kuna battle freestyle walifanya na Haidary scoda motra alifichwa km sehemu za siri.