Wakazi Vs Godzilla yupi ni master

Wakazi Vs Godzilla yupi ni master

Akidata kabisa ndo utawaona wakitoka na kutoa sapoti..Ila kwa sasa watu wanamkejeli tu..So bad aisee
Kama unamfahamu mtu vizuri akianza kupata matatizo lazima utafahamu (wasanii wenzake+watangazaji wanafahamu hayuko sawa),Godzilla baba yake alifariki akiwa mdogo sana so amelelewa na mama yake.Naskia story matatizo yamemuanza baada ya kuachana na demu wake Doreen ambaye walizaa nae (sijui chanzo nini)
 
Bongo freestyles zimekufa. Totally buried.[/QUOTE] Bado zipo kuna jamaa anaitwa Nchana the best huyu jamaa ni mzuri kwnye freestyle:
 
Dish limeyumba kiukweli, watu wanasema ana stress kali sana ila anataka ku act yuko sawa badala ya kuongea yanayomsibu asaidiwe.
....chief,mpaka aongee?
...mlio karibu nae msaidieni haraka sana,
..kabla watu hawajaja kufukua hizi nyuzi!
 
Dish limeyumba kiukweli, watu wanasema ana stress kali sana ila anataka ku act yuko sawa badala ya kuongea yanayomsibu asaidiwe.
uyo nchana yuko wapi mkuu ...kuna washkaji kibao tu wanajua freestyle nliokuwa nao chuo sema sasa hivi wanakazi zao rasmi....ila hawa wa sasa wanaojipambanua kwenye media naona kama wanazingua tu aisee.
 
Kuna wengi sana Wa free style ila nadhani Mo tra the future ni engine nyingine kwa sasa
 
Nlitaka niupload video zimegoma akiwa anafreestyle
 
Kuna wengi sana Wa free style ila nadhani Mo tra the future ni engine nyingine kwa sasa
Huyo motra namfaham hata kabla hajajulikana ni wakawaida sna kuna battle freestyle walifanya na Haidary scoda motra alifichwa km sehemu za siri.
 
Stereo ndio mjanja kusign wasafi...muziki biashara mfano Darassa.Billnass.Young D nk sio kutafuta street credibility wakati hakuna pesa inayoingia..
 
Back
Top Bottom