Wakazi Vs Godzilla yupi ni master

Wakazi Vs Godzilla yupi ni master

Sahivi sioni tofauti ya Zilla na TID, naye kashakuwa kama teja, jamaa alikuwa vizuri sana freestyle ila nimecheki hiyo video hamna kitu hapo, yaani tunaelekea kumpoteza kijana
 
Sijawahi kumkubali wakazi hata siku 1... Ye ni rapa anaetumia nguvu nyingi kujipush kwa maneno mingi at ze same time anaacha kazi zake nyuma... Real rap inajiitroduce buraza...
 
Basi Wakazi anafeli. Haikuwa na maana hata kutilia maanani hayo matokeo, kwa sababu ni hisia za watu tu na haziingilii mikate yao wote.
Issue ilianzia Twitter Zillah alimdiss kiaina Wakazi ingawa haikua serious kiivyooo Wakazi baada ya kujibu ndo shida ikaanza wakavuana sana nguo kwa maneno ya shombo Zillah akawa anajisifu kuwa verified Twitter anatimba Ikulu na ana hit kibao pia akamwambia Wakazi ashamtumia demu wake kama video queen wake na akamwambia Wakazi hana hit zaidi ya mixtape tu kibaoooo Wakazi nae akamjibu Zillah kuwa hiyo verification ya twitter sio kitu kwanza ya kuomba ye ashakua verified mtaani na akamwambia kuwa kama kuwa verified Twitter ni big issue mbona Fid Q sio verified? Pia akamwambia Zillah kuwa ye hana hit lakini ameperfome Big Brother amekuwa nominated tuzo za Kora na ana ngoma na wasanii A list wa Nigeria so yako mengi but kwa haraka ilianza hivyo
 
Wakazi alipania sana baada ya kutangaza kushindwa battle ya kwanza

Godzila kashaanza kuchuja hadi ameboa
Siku hizi hakuna freestyle. Zilla kafa ukimsikiliza kwa makini unagundua hakuna kitu.
God zila ni mkali sana ila sijui kapatwa na nini
Godzilla tumepoteana siku hizi, sijui ni zile stress za kuachwa au??
God zila ni mkali sana ila sijui kapatwa na nini
Bangi.. Ngada..

Tushampoteza huyu...
 
Siku hizi hakuna freestyle. Zilla kafa ukimsikiliza kwa makini unagundua hakuna kitu.
Hawa wenye majina naona wengi wazinguaji siku hizi..Ila kuna vijana bado wanajitahidi..Sema hawajapata nafasi ya kuonekana na wengi
 
Godzilla has always been trash. He can rap on a beat alright, but he never says anything that really makes sense. Halafu kuna ushamba na ujinga vimemzidi. Wakazi naye too much unnecessary dramas lately. Huyo mtangazaji na producer wake wajipange tena, wameshindwa ku-control kipindi bana.
Bro kwa upande wa freestyle huyu jamaa alikuwa anajitahidi..Ila amezidisha sana usela hadi unamzidi nguvu..Naona anaanza kupoteza..
 
Godzilla is gone Bro...
hakuna aliyewahi kusimulia
Ghetto lake poa kama Ngwair

na hajatokea aliyesimulia
mtaa wake poa kama Zilla wa Salasala
Huyu jamaa nadhani kuna vitu vinamsumbua..ila sidhani kama ndo ashapotea mazima
 
Hiyo session ilikuwa ya pili ya kwanza mashabiki walipiga kura akashinda zilla. Ila pia hakuna walichokifanya.

Atleast, zilla kwenye zile session za clouds miaka ile, he was something. Wakazi fresstyle hawezi kama umemsikiliza mwanzoni alifanya freestyle akashindwa round zingine akachana alichokiandika.

Wamepambanisha asiyeweza vs aliyekuwa anajaribu ila kwasasa hawezi.
Wakazi kwa Freestyle sijawahi kumkubali
 
afu zilla kaniangusha sana mimi na wanaume wa kweli hapa nchini.....huwezi kupotea kwny game et kisa demu....yani et mapenzi jaman...serious???

ata chidbenz akiskia hili atamcheka sana...
 
Huyu jamaa nadhani kuna vitu vinamsumbua..ila sidhani kama ndo ashapotea mazima
Godzilla inaonekana ana msongo wa mawazo na asipopata matibabu mapema hali itazidi kuwa mbaya.Tangu mwaka umeanza mwenendo wake sio mzuri kabisa hata ukiangalia tweet zake utagundua hayuko sawa.Kibaya zaidi ni kuwa wasanii wenzake badala ya kumsaidia lakini wanamtumia kutafuta kick
 
Freestyle zilikuwepo. Artists walikuwepo. Labda walikuja kugundua haziwalipi na mabadiliko ya soko la mziki wakapita nalo.

Zilla alikuwa anajitahidi, baba malcom kwangu alikuwa mtu hatari saana. Ila leo hawawezi
Karibu mwaka wa 4 huu Tanzania hakuna wasanii wa Hip Hop
 
Back
Top Bottom