Wakazi wa Arusha wapi Refreshment Place yako?

Wakazi wa Arusha wapi Refreshment Place yako?

Papaa007

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2016
Posts
1,103
Reaction score
1,737
Tujuzane sehem mbalimbali ambazo baadhi mwapendelea kwenda ku refresh kidogo katika Weeknds ama ata pia Weekdays, Pengine tunaweza kujumuika siku moja moja.

Mimi kwa upande wangu napenda kuhudhuria 101, Pub la mony, Boogaloo na mitaa ya chini mti pale.
 
Iwe ni Movies, Food and Drinks, Sports, Clubing ama any Entertainment
 
Usilolijua eeh mie naandika watu wajiandae tu kuliko kukuta tofauti
Kusema ukweli unapotosha wasiojua uhalisia. Na kusema kweli wewe labda ulisimuliwa tu na watu story za uongo.

Hata kama umeishi Arusha ni mda mfupi sana na hujatembea kutokana na labda kuogopa hizo hadithi za uongo.
 
Back
Top Bottom