Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

Persia sio suni bali shia
 
Baadhi ya Wabara walikuwa wanaingia Zanzibar hata kabla ya kuja kwa Waarabu , Wahindi na Waasia wengine.
Ila kwa kiasi kidogo sana , na tena zilikuwa ni safari za kusuasua ( kufa na kupona )
Hii ni kutokana na kutokua na teknojia ya majahazi na kupambana na magonjwa( Mbu ) na viumbe vya hatari

Ni kichefu , chefu cha hali ya juu kusema mgunduzi wa mlima Kilimanjaro alikua ni mzungu (Sarah Kikya ) , wakati kuna wachaga walo ishi chini ya mlima huu , na walikua wakipanda katika milima hii kwa ibada zao za giza ( kabla ya kumjua MUNGU wa kweli )
Sijakupata vizuri
 
 
Je unaaminije wakati sisi wenyewe ni product ya Bantu migration tumehamia kwenye east coast of afrika kutokea west.
 
Je unaaminije wakati sisi wenyewe ni product ya Bantu migration tumehamia kwenye east coast of afrika kutokea west.
Ila hatukuweza kuvuka bahari kutokana na tatizo la teknolojia.
Mazingira tulo tokea pia yalikuwa ni tofauti.
Na hata wakazi wa pwani wengi wana asili ya huku ndani ndani ,
 
Persia sio suni bali shia
Si Persia wote ni shia....almost 20% ni sunni.....na hatujui hao waIran waliokuja walitokea maeneo yenye sunni ama shia wengi....Kama wangekuwa shia Leo hii tungeona athari zao huko Zanzibar...lakini ni kinyume....
 
Ni mimi pekeyangu sielewi kinachojadiliwa hapa au kuna mwingine!!!!?
 
Si Persia wote ni shia....almost 20% ni sunni.....na hatujui hao waIran waliokuja walitokea maeneo yenye sunni ama shia wengi....Kama wangekuwa shia Leo hii tungeona athari zao huko Zanzibar...lakini ni kinyume....
Wa - Persia walikuja kwenye karne ya 1 hadi 4 , lakini hawakuwekea mkazo wa kuishi kisiwa cha Zanzibar
Aliye sisitizia hili ni Sultan Seyyid Sayyid wa Oman na ilikuwa hivi karibuni kwenye miaka ya 1800 , Na aliamia visiwani Zanzibar kutokana na ugomvi wa kifamilia.
Akaamua kutafuta sehemu ya kuanzisha utawala wake , na akaiona Zanzibar
 
Tunaishi kwenye Taifa la aibu,Prof.Abdulrazak Gurnah aliepata tuzo ya Nobel alifukuzwa Zanzibar kupitia siasa za ubaguzi wa rangi za CCM-Zanzibar ikabidi akaombe uraia Uengreza.
 
Wahadimu
 
Et Mungu wa kwel Acha dharau mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…