Wakazi wa asili wa Zanzibar ni watu gani?

Nadhani ni watumbatu ambao nao pia asili yao ni bara.
 
miaka hawakuwepo watu bhana ukweli usemwe kama wangekuwepo surutani asinge futa vibarua tabora kongo nk
 
Leo kuna wanaomtaka sultan wao arudi, shida kubwa
 
Karne ya 7 kulikuwa na Uislam? Walishuhudia kwa Mtume yupi ilihali Muhammad (S.A.W) hakuwepo?
 
Katika dunia hii hakuna mwenyeji wa eneo.

Mwenyeji wa Eneo alikuwa Adam peke yake

Wengine wote wapo eneo flani kutokana na movements zilizokuwepo tangu zamani

Hata Tanzania hakuna kabila la kujiita wenyeji
 
Hahaha, eti waliogundua visiwa, kilikuwa hakipo wala hakionekani wakakigundua wao?
Tukubaliane na ukweli wenzetu walikuwa na utamaduni wa kusafiri Baharini na vyombo vyao vya usafiri vinalithibitisha hilo.

Kwa upande mwingine sisi Wabantu tulikuwa na vingarawa vidogo vidogo vya kuvulia samaki pembezoni mwa Bahari.

Ukweli ndio huo wala sio self hate.
 
Wa Oman wako Suni na wako Ibadh,na ukifika Oman,ni kosa kubwa kubaguana kwa kimadhebu,na ndivyo hivyo hivyo utawala wa Sultan Zanzibar,ilikuwa haungilii madhehebu,mtu anafuata madhehebu anayotaka.
 
Sawa, sikatai

Ila ninyi huwa mnshindwa kutofautisha ugunduzi na urasimishaji

Hakuna Mgeni aliyegundua landscape yoyote aliyoikuta Afrika

Walisafiri ndio lakini walivikuta na walikuta Watu wakihusiana navyo na waafrika waliviita kwa majina ya asili yao kabla Mzungu hajafika

Walichofanya wao ni kurename na kurasimisha basi

Ni kama kuambiwa John Rebman aligundua Mlima Kilimanjaro....HOW?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…