Tulikuwa tunaongelea Watu wa Asili ya Zanzibar na kwa taarifa yako kuwa Mwafrika sio lazima uwe Mbantu.Sawa, sikatai
Ila ninyi huwa mnshindwa kutofautisha ugunduzi na urasimishaji
Hakuna Mgeni aliyegundua landscape yoyote aliyoikuta Afrika
Walisafiri ndio lakini walivikuta na walikuta Watu wakihusiana navyo na waafrika waliviita kwa majina ya asili yao kabla Mzungu hajafika
Walichofanya wao ni kurename na kurasimisha basi
Ni kama kuambiwa John Rebman aligundua Mlima Kilimanjaro....HOW?
sio rahisi namna hiyo rudi nyuma kidato cha tatu utakutana na jibu la swali hili kutoka kwa marcopoloZanzibar haina watu wa asili wote ni wahamiaji (mabaharia) nikisiwa kilichotumiwa na wavuvi kupumzika, ndio maana Zanzibar haina wenyewe utasikia tu Wamakunduchi hao wanatoka Makunduchi mkoa wa Kaskazini, Wapemba wanatoka Pemba, Watumbatu kuna wanyamwezi ,Wamalawi,Wanyamwezi,Wakongo,Wangoni, Wakurya,Waarabu,Wacomoro,Wachina,Wahindi, Wazaramo,Wamakonde nk.
Ni mimi pekeyangu sielewi kinachojadiliwa hapa au kuna mwingine!!!!?