Mpare wa Upareni
New Member
- Mar 8, 2018
- 1
- 0
Ni wiki ya 3 sasa toka maji yakatike maeneo ya Bonyokwa Mwisho Mtaa wa Tembo. DAWASA mpaka sasa wako kimya wala hawajatangazia wananchi shida ni nini na maji yatarudi lini.
Niwasihi DAWASA warudishe maji ama laa watuambie ni lini maji yatarudi. Maana Bill za maji tunatumiwa, tunalipa ila huduma ya maji hamna, mabomba yote yamekaukaa, hata maji tuliyohifadhi kwa akiba, sasa yote yanaelekea kwisha ikiwa bado hatufahamu hatma ya maji.
Soma Pia: DAWASA, wakazi wa Kimara Korogwe njia ya Mji Mpya kuelekea KAM College hatuna maji wiki ya pili sasa