Amavubi
JF-Expert Member
- Dec 9, 2010
- 30,156
- 13,258
Baada ya Kuishi kwenye chumba kimoja huu ndio uzoefu wangu
- Ukitaka kumjua mkazi wa chumba kimoja mtembele kuanzia saa tatu hivi usiku, utakuta kila kitu ndani yakiwemo majiko, ndoo nk
- Ni ngumu sana kujua lilipo dirisha la chuma kimoja kwani aghalabu ndimo huegemezewa kabati la vyombo ama nguo
- Uvundo ndio mahakama ya chumba kimoja sababu ya mlundikano
- usistuke kuona panya ama mende kwenye chumba kimoja na hapo ni pale unapobahatika kwani unaweza kuondoka na wale jamaa
- ukiona kamba kwenye chumba kimoja imekatiza basi ujue siku hiyo kavaliwa........
- kuna mashuka ya mchana na ya usiku.................
- ...............ongeza........................