Wakazi wa Chumba Kimoja Tukutane Hapa

Wakazi wa Chumba Kimoja Tukutane Hapa

ukiishi chumba kimoja kama huna machungu ya maisha hela itaishia kwenye kuitumbua tu na sababu nirahisi tu pale unapoona huna nafasi ya kuongeza walau kabati
 
Hata wakazi wa chumba kimoja hawapendi kuishi vile wanavyoishi ni maisha tu yamewalazimisha kuwa hivyo walivyo, mfano mzuri mi nimeanzia huko na ndiko kulikonipa uchungu wa kutafuta maisha zaidi baada ya kuchukia maisha ya mkazi wa chumba kimoja,

“Intelligence without ambition is a bird without wings.”
hongera kwa uthubutu......kumbuka maisha ni safari ndefu sana na ukizingatia ili uwe na nyumba lazima uanzie kwenye cheo fulani wakati huohuo unaambiwa ili uoate kazi lazima uwe na uzoefu wa miaka mitano na kuendlea so maisha ya chumba kimoja ni mapito ya wengi
 
unaiweza ukaibuka na utafiti kwa hii mada
 
Baada ya Kuishi kwenye chumba kimoja huu ndio uzoefu wangu

  1. Ukitaka kumjua mkazi wa chumba kimoja mtembele kuanzia saa tatu hivi usiku, utakuta kila kitu ndani yakiwemo majiko, ndoo nk
  2. Ni ngumu sana kujua lilipo dirisha la chuma kimoja kwani aghalabu ndimo huegemezewa kabati la vyombo ama nguo
  3. Uvundo ndio mahakama ya chumba kimoja sababu ya mlundikano
  4. usistuke kuona panya ama mende kwenye chumba kimoja na hapo ni pale unapobahatika kwani unaweza kuondoka na wale jamaa
  5. ukiona kamba kwenye chumba kimoja imekatiza basi ujue siku hiyo kavaliwa........
  6. kuna mashuka ya mchana na ya usiku.................
  7. ...............ongeza........................
- mgeni kukaa kitandani ni jambo la kawaida
- akija mgeni wa jinsia tofauti na umetoka kuoga inabidi ukavalie bafuni au uombe chumba cha jirani
 
- mgeni kukaa kitandani ni jambo la kawaida
- akija mgeni wa jinsia tofauti na umetoka kuoga inabidi ukavalie bafuni au uombe chumba cha jirani
duh.........na hii nimeikuta SA pia, jamaa nje amenileta na Benzi ndani ana chumba kimoja huku ana mke na mtoto mchanga na tulikaa kitanda na kugonga menyu nilifurahia sana nilidhani n9 maisha ya uswazi tu
 
Back
Top Bottom