Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hongera kwa uthubutu......kumbuka maisha ni safari ndefu sana na ukizingatia ili uwe na nyumba lazima uanzie kwenye cheo fulani wakati huohuo unaambiwa ili uoate kazi lazima uwe na uzoefu wa miaka mitano na kuendlea so maisha ya chumba kimoja ni mapito ya wengiHata wakazi wa chumba kimoja hawapendi kuishi vile wanavyoishi ni maisha tu yamewalazimisha kuwa hivyo walivyo, mfano mzuri mi nimeanzia huko na ndiko kulikonipa uchungu wa kutafuta maisha zaidi baada ya kuchukia maisha ya mkazi wa chumba kimoja,
“Intelligence without ambition is a bird without wings.”
Ni kweli yatapita....ni maisha magum sana japo sijayapitia but nimeona kwa wengine.sio kwamba tunapenda ni maisha tu ila yatapita
Lazima uichukie hali uliyo nayo ndipo utoke kimaishaNa watu wanaotoka kimaisha mapema ni wakazi wa stoo (chumba kimoja) huwa na juhudi sana kwenye maisha mfano halisi Millard ayo
hahaaaa..kaka m sio mwanaume wa dar m nipo kanda zetu za wala ugali wa dona na maziwa..huko tandale hata sikujui.karibu tena nahisi unatokea sinza kuja tandale
- mgeni kukaa kitandani ni jambo la kawaidaBaada ya Kuishi kwenye chumba kimoja huu ndio uzoefu wangu
- Ukitaka kumjua mkazi wa chumba kimoja mtembele kuanzia saa tatu hivi usiku, utakuta kila kitu ndani yakiwemo majiko, ndoo nk
- Ni ngumu sana kujua lilipo dirisha la chuma kimoja kwani aghalabu ndimo huegemezewa kabati la vyombo ama nguo
- Uvundo ndio mahakama ya chumba kimoja sababu ya mlundikano
- usistuke kuona panya ama mende kwenye chumba kimoja na hapo ni pale unapobahatika kwani unaweza kuondoka na wale jamaa
- ukiona kamba kwenye chumba kimoja imekatiza basi ujue siku hiyo kavaliwa........
- kuna mashuka ya mchana na ya usiku.................
- ...............ongeza........................
duh.........na hii nimeikuta SA pia, jamaa nje amenileta na Benzi ndani ana chumba kimoja huku ana mke na mtoto mchanga na tulikaa kitanda na kugonga menyu nilifurahia sana nilidhani n9 maisha ya uswazi tu- mgeni kukaa kitandani ni jambo la kawaida
- akija mgeni wa jinsia tofauti na umetoka kuoga inabidi ukavalie bafuni au uombe chumba cha jirani