Wakazi wa Dar es Salaam kasoro bahari, napata wapi sehemu za burudani kwa watoto

Wakazi wa Dar es Salaam kasoro bahari, napata wapi sehemu za burudani kwa watoto

matunduizi

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2018
Posts
7,968
Reaction score
19,368
sisi wakazi wa gomzi kwenda baharini ni safari ndefu hadi unafika kiu imekata.

nauliza kwa maeneo ya mbezi, buguruni,tabata,majumba sita, mfugale na kisarawe sehemu nzuri za burudani kwa watoto.
swimming pool, michezo ya kila aina ya watoto na wazazi wao.

msaada wadau wa dar es salaam kasoro bahari au mbali na bahari.
 
Anzia kipande cha kiluvya mpaka kongowe kuna hotels zenye swimming pools na sehemu zenye michezo ya watoto safi sana tsh.3000/day
 
Mbezi sina uzoefu, though kama unatoka Goms kwenda mbezi na familia bora uwe na private maana usafiri wa ligi sana.Au laa nenda kinyerezi kuna maeneo mazuri pia
poa pouwa, gomzi mbezi luiz yapo
 
Mleta mada fursa hyo ichangamkie...tafuta mwekezaji ujenge kitu km icho hpo gomz au hta chanika
 
Kwa watoto na familia sina uzoefu, ila kwaajili yako mkuu sehemu ni bweleleee, "vipi Gambe inapanda mkuu"????
 
Sijui ni segera au kinyérez kuna sehemu wanapaìta kwa mzungu
mkuu kwa mzungu nilipasikiaga kitambo sana miaka kama saba iliyopota maeneo hayo hayo, mjuzi wa maeneo atupe muongozo na watoto wetu wa kiswahili wapate exposure kwa be ndogo kasoro bahari.
sijui kama bado papo au mzungu kaishasomeshwa desimali aka namba.
 
Kwa watoto na familia sina uzoefu, ila kwaajili yako mkuu sehemu ni bweleleee, "vipi Gambe inapanda mkuu"????
hahaha
hapana mkuu, Gambe na Fegi vilinipitia kushoto. Ila tabata najua yamejaa ya kufa mtu
nilitaka kwa ajili ya madogo maana Gomzi kwenda beach za daslaam unakuwa na safari ndefu hadi unafika unakizunguzungu na umechoka utadhani ulikuwa unaenda Juba Sudani kusini.
 
Ahahah basi sawa mkuu, hope wachangiaji wengine watasaidia kwa hilo ili wajomba zetu wapate sehemu za kuenjoy weekend.
 
Nenda kwa mzungu tu hapo karibu na majumba sita ndo beach ya huku kwetu
mkuu pale nashukia kituo gani niiwa ndani ya DCM ya Gomzi mbezi.
Eneo lita watu karibu milioni lkn kituo cha burudiko kwa watoto ni kimoja. watafuta pesa wa jiji hili waliangalie. watuletee burudani.
 
Ahahah basi sawa mkuu, hope wachangiaji wengine watasaidia kwa hilo ili wajomba zetu wapate sehemu za kuenjoy weekend.
kweli mkuu wajomba akili zisiwe mgando wakiingia shule za kata wakashindwa kukokotoa magazijuto hahahaa
 
Kama upo gomz Panda daladala Ya chanika kitunda uende Angwisa safi Sanaa kuna swimming pool ya wakubwa na watoto
 
Back
Top Bottom