Wakazi wa Dar es Salaam kasoro bahari, napata wapi sehemu za burudani kwa watoto

Kwa mzungu
mkuu kwa mzungu pachafupachafu sikupakubali. Nilikuta swimming pool ya watoto inasafishwa maji machafu pakanivunja moyo, Ila Mkuki Pale nimepahakiki panafaa sana.
 
sisi wakazi wa gomzi kwenda baharini ni safari ndefu hadi unafika kiu imekata.

nauliza kwa maeneo ya mbezi, buguruni,tabata,majumba sita, mfugale na kisarawe sehemu nzuri za burudani kwa watoto.
swimming pool, michezo ya kila aina ya watoto na wazazi wao.

msaada wadau wa dar es salaam kasoro bahari au mbali na bahari.
kuwa mzalendo, tembelea mitambo ya gesi kinyerrezi ukimaliza ingia airport tafuta vilivyo vyuma vyetu twanga foto huku unapiga IDIBALA. achana na ubeberu wa kwenda ufukweniza
 
mkuu kwa mzungu pachafupachafu sikupakubali. Nilikuta swimming pool ya watoto inasafishwa maji machafu pakanivunja moyo, Ila Mkuki Pale nimepahakiki panafaa sana.
Yani nakumbuka baada ya kulipa kiingilio nilipoingia tu.. Nikatoka fasta.. Ni changanyikeni balaaa
 
sisi wakazi wa gomzi kwenda baharini ni safari ndefu hadi unafika kiu imekata.

nauliza kwa maeneo ya mbezi, buguruni,tabata,majumba sita, mfugale na kisarawe sehemu nzuri za burudani kwa watoto.
swimming pool, michezo ya kila aina ya watoto na wazazi wao.

msaada wadau wa dar es salaam kasoro bahari au mbali na bahari.
Nenda 'Kimboka Resort' pale Buguruni.
 
Back
Top Bottom