matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 7,968
- 19,368
Anzia kipande cha kiluvya mpaka kongowe kuna hotels zenye swimming pools na sehemu zenye michezo ya watoto safi sana tsh.3000/daysisi wakazi wa gomzi kwenda baharini ni safari ndefu hadi unafika kiu imekata.
nauliza kwa maeneo ya mbezi, buguruni,tabata,majumba sita, mfugale na kisarawe sehemu nzuri za burudani kwa watoto.
swimming pool, michezo ya kila aina ya watoto na wazazi wao.
msaada wadau wa dar es salaam kasoro bahari au mbali na bahari.
safi mkuu. maeneo ya mbezi vipiAnzia kipande cha kiluvya mpaka kongowe kuna hotels zenye swimming pools na sehemu zenye michezo ya watoto safi sana tsh.3000/day
safi mkuu. maeneo ya mbezi vipi
poa pouwa, gomzi mbezi luiz yapoMbezi sina uzoefu, though kama unatoka Goms kwenda mbezi na familia bora uwe na private maana usafiri wa ligi sana.Au laa nenda kinyerezi kuna maeneo mazuri pia
Ya kugombea sana, hasa kutoka mbezi kwenda gomspoa pouwa, gomzi mbezi luiz yapo
mkuu kwa mzungu nilipasikiaga kitambo sana miaka kama saba iliyopota maeneo hayo hayo, mjuzi wa maeneo atupe muongozo na watoto wetu wa kiswahili wapate exposure kwa be ndogo kasoro bahari.Sijui ni segera au kinyérez kuna sehemu wanapaìta kwa mzungu
hahahaKwa watoto na familia sina uzoefu, ila kwaajili yako mkuu sehemu ni bweleleee, "vipi Gambe inapanda mkuu"????
hahaha
hapana mkuu, Gambe na Fegi vilinipitia kushoto. Ila tabata najua yamejaa ya kufa mtu
nilitaka kwa ajili ya madogo maana Gomzi kwenda beach za daslaam unakuwa na safari ndefu hadi unafika unakizunguzungu na umechoka utadhani ulikuwa unaenda Juba Sudani kusini.
mkuu pale nashukia kituo gani niiwa ndani ya DCM ya Gomzi mbezi.Nenda kwa mzungu tu hapo karibu na majumba sita ndo beach ya huku kwetu
kweli mkuu wajomba akili zisiwe mgando wakiingia shule za kata wakashindwa kukokotoa magazijuto hahahaaAhahah basi sawa mkuu, hope wachangiaji wengine watasaidia kwa hilo ili wajomba zetu wapate sehemu za kuenjoy weekend.
hapo ntafika, asanteeKama upo gomz Panda daladala Ya chanika kitunda uende Angwisa safi Sanaa kuna swimming pool ya wakubwa na watoto
kwani nani kakwambia ni wageni hadi waende nyumba ya wageni.ukiona itakuwa gharama sana kufata ushauri wa wadau, watoto wapeleke hata gesti hausi