Wakazi wa Dar es Salaam kasoro bahari, napata wapi sehemu za burudani kwa watoto

Kwa mzungu
mkuu kwa mzungu pachafupachafu sikupakubali. Nilikuta swimming pool ya watoto inasafishwa maji machafu pakanivunja moyo, Ila Mkuki Pale nimepahakiki panafaa sana.
 
kuwa mzalendo, tembelea mitambo ya gesi kinyerrezi ukimaliza ingia airport tafuta vilivyo vyuma vyetu twanga foto huku unapiga IDIBALA. achana na ubeberu wa kwenda ufukweniza
 
Dsm hakuna sehemu utakosa kiwanja cha ukweli kwa Kada yoyote
 
mkuu kwa mzungu pachafupachafu sikupakubali. Nilikuta swimming pool ya watoto inasafishwa maji machafu pakanivunja moyo, Ila Mkuki Pale nimepahakiki panafaa sana.
Yani nakumbuka baada ya kulipa kiingilio nilipoingia tu.. Nikatoka fasta.. Ni changanyikeni balaaa
 
Nenda 'Kimboka Resort' pale Buguruni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…