Mzee Wa Kale Kabisa
JF-Expert Member
- Mar 25, 2018
- 2,621
- 4,322
Hao wanaoambiana wasipite njia hiyo ni majambaziWana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
Mkuu pale hawezi kuingia jambazi trust meHao wanaoambiana wasipite njia hiyo ni majambazi
[emoji106]Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.
[emoji106]Kuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
Ngoja leo nipite huko huko nione kama watanizengua....tena nitawanywea kabisa K-Vant na kubeba bunduki yangu niwakabili.Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Huyo ndiyo mjuba.[emoji106]
Safi,uzuri janga utakuwa umelipanda wewe utalivuna pia wewe peke yako.Ngoja leo nipite huko huko nione kama watanizengua....tena nitawanywea kabisa K-Vant na kubeba bunduki yangu niwakabili.
Sikubaliani na kauli yako, leo lazima kiwake kati yangu na wanajeshi....nitawaletea mrejesho.Safi,uzuri janga utakuwa umelipanda wewe utalivuna pia wewe peke yako.
[emoji107]Sikubaliani na kauli yako, leo lazima kiwake kati yangu na wanajeshi....nitawaletea mrejesho.
Hao wanaoambiana wasipite njia hiyo ni majambazi
Lissu hakukosoea aliposema tuna li rais la ovyo kuwa kutokea.Usalama upi?.kwani zamani kulikuwa HAKUNA usalama?.
Wanajeshi kuingia mitaani kutishana ni ishara mbaya Sana.
Kwani tupo congo hapa?.
Kwanini magufuli hajiamini?.
Ni Mambo ya ovyo kabisa
Nchi hii bila majeshi usingekuja kuandika hapa kwa amani
Unaandika ukiamini upo salama
Naomba jeshi la wananchi mje mitaa ya kwetu hapa Manzese mtulinde
@Mshana JrWanatamba vya mwisho mwisho
MkuuKuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.