Kibereko
JF-Expert Member
- Sep 26, 2018
- 383
- 895
Uwo Usalama unaitajika leo tu na sio siku zote?Wana usalama wapo kwa ajili yetu, wanalinda amani raia na mali zao, hivyo haina haja ya kupost mambo ya kutishana labda uwe ni muhalifu
Nimepita maeneo hayo, nilipowaona tumesalimiana na nimefarijika kuona amani imetamalaki.
Tupunguze kiwango cha ujinga ktk akili zetu.