Mbinu hizo za green guard wa sisiem sio jeshi letu,wanaua, ,wanachoma nyumba za kutosha moto na magari Kisha taratibu wanaondoka na mateka wao....unajuwa mbinu za kijesh za kumteka adui...Je ulikuwepo na unauhakika hawakuenda kweny tukio...?
Wanawake na watotochini ya miaka 10 wametekwa afu mnawamrisha kufanya kazi za polisijamii bila professional yao