Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 16,419
- 26,594
Mbona hukupiga kapicha mkuu!Njia ya Mwenge hadi Lugalo kama unaelekea Tanki Bovu kuna wanajeshi wenye silaha wanasimamisha magari usiku huu na kuhoji watu wametoka wapi, wanaenda wapi.
Wakikuona umekunywa pombe wanakuzingua! Yaani kuna road blocks kabisa.
Ukiweza, pita barabara nyingine mbadala kuepuka usumbufu.
Atakaye leta FUJO.. asitulaumu.Jiji zima usiku wa leo limetawaliwa na hao watu, hakuna uhuru na amani kabisa.
ππππKuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.
Uliziona wakati wanakutoa marinda dah upo makini sana kwa kweliHalafu ndio wanaoongoza kuwa na shida hadi makalioni.
Kiungo cha firigisi dingiUmeshindwa kutumia japo asilimia ndogo tu ya uwezo wako wa kufikiri mkuu. Ulitaka vyombo vya ulinzi na usalama vilale na kukoroma kama wewe? Sijui huwa mnawaza kupitia viungo gani vya mwili...
Wanawalinda nyie mabuda maana hamuwezi kujilinda ndio maana mnakabwa na kutolewa marinda na vibakaChama dola ndiyo hii!
Siku zote, hawakujua kuna watu wanalewa usiku kucha, na kuendesha magari, au kuna wezi na majambazi mitaani??
Leo eti wanatulinda?? [emoji23]
Everyday is Saturday............................... π
Nyie magaidi kumbe mmekimbilia humuKITAYA wamekatwa vichwa na kunyang'anywa vifaru wanakuja kutishia raia ambao hata shabaa ya kulenga ukuta hawawezi.
Kujua Nini kisichojuikana wanaingia wanaua,wanachoma,wanapiga,wanateka haitaji elimu kubwa kama ya msukuma tu au chini ya hapo inatoshaKwa hiyo wewe unajua kuliko vyombo vya ulinzi na usalama ?
Na ndo ccm inavyotaka hivyo tuwe na taifa la wajingaKuna watu wana akili za hovyo,yana mtu anadiliki kusema kuwa wakikukuta umekunywa pombe wanakuzingua wakati anajua fika kunywa pombe na kuendesha chombo cha moto ni kinyume cha sheria za barabarani.
Nahisi hakuna wakati tumezalisha vijana wajinga kama nyakati hizi,Mungu tu atusaidie.